Ikulu T
JF-Expert Member
- Aug 21, 2023
- 1,600
- 4,714
SawaNenda jukwaa la siasa hapa sio mahala pake. Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNenda jukwaa la siasa hapa sio mahala pake. Mkuu
Hiyo sababu yakufuatwa na wengi ndiyo inayosababisha kuliwa na wengi.Hakuna kitu kama hicho.
Wewe Binamu zako afuatwe na Wanaume 100 alafu ufananisho na mtu anayefuatwa na watu watano mwaka mzima
Kitendo Cha kubadilisha wanaume 1000 ndio Umalaya wenyewe huo.
Au kwako tafsiri ya Malaya ni nini?
Hujataja sifa nyingine ya uchoyo na roho mbaya
Usiache na ile sifa ya uchawi kule kwenu, vizabi zabina na kutokuwa na kifua.
Ukifanya nao kazi hawa jamaa ni watu wenye ghiriba na hila nyingi.
Sijawahi kusikia kama wapare ni kabila lililopo kwenye Tano Bora ya uzuri Tanzania.
Lakini sikupingi labda ungeanza kutuambia ulitumia vigezo gani? au sifa ya ufupi! Usiwasahau na nduguzo Wawanji, Wabena ,Wakinga, Wapangwa na Wamanda ili mkamilishe tano bora.
Wanyaturu, Wanyiramba, Wanyisanzu na Wataturu wa porini kule ulienda kutoa posa utamkula kuanzia mama mtu mpaka shangazi zake.
Warangi sifa Yao ni uchawi kama unabisha kaoe.
Wahaya ni mapioneer kwenye miaka ya 60 mpaka Sasa kuhusu kujiuza kwa buku tatu mpaka buku na hii tabia wameitoa Uganda.
Nilitembelea miji kadhaa Uganda kama na nikajirizisha bila shaka kule ni kitu Cha kawaida na madanguro yametapakaa.
Wanyakyusa Ushamba na ujeuri usipokuwa makini watoto wako badala wawe na majina ya kipare basi wataitwa Lugano, Ipyana ,Gwalugano na mengineyo.
Wasafwa ni wachafu na usimtazame Masogange kama wote wapo vile.
Wanyiha ni makatili na ndugu zao Wanyamwanga na ndio jamii zinazo ongoza kufanya mauaji nyanda za juu.
Madem wa Arusha wakorofi na visu wanatembea navyo
Madem wa Dar nyodo na kiswahili kingi
Madem wa Mbeya sura za baba zao ila mikia Mungu kawajaharia
Madem wa Tanga wapole kwa asilimia kubwa
Tabia za kabila fulani huwa ni jumuishi na ni mwenendo wa kizazi hadi kizazi hata kama kamoja katakuwa na tabia tofauti.
umalaya kwa wanawake unasababisha mpasuko kuongezeka sana na kuwa mwanya na kuwa mkubwa zaidi na wazi muda wote.Kwema Wakuu!
Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.
Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.
Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu
Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.
Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae.
Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.
Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi.
Acheni wivu.
Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.
Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.
Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.
Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao.
Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.
Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.
Povu Rukhsa!
Hiyo sababu yakufuatwa na wengi ndiyo inayosababisha kuliwa na wengi.
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
Kitendo Cha kubadilisha wanaume 1000 ndio Umalaya wenyewe huo.
Au kwako tafsiri ya Malaya ni nini?
Hujataja sifa nyingine ya uchoyo na roho mbaya
Usiache na ile sifa ya uchawi kule kwenu, vizabi zabina na kutokuwa na kifua.
Ukifanya nao kazi hawa jamaa ni watu wenye ghiriba na hila nyingi.
Sijawahi kusikia kama wapare ni kabila lililopo kwenye Tano Bora ya uzuri Tanzania.
Lakini sikupingi labda ungeanza kutuambia ulitumia vigezo gani? au sifa ya ufupi! Usiwasahau na nduguzo Wawanji, Wabena ,Wakinga, Wapangwa na Wamanda ili mkamilishe tano bora.
Wanyaturu, Wanyiramba, Wanyisanzu na Wataturu wa porini kule ulienda kutoa posa utamkula kuanzia mama mtu mpaka shangazi zake.
Warangi sifa Yao ni uchawi kama unabisha kaoe.
Wahaya ni mapioneer kwenye miaka ya 60 mpaka Sasa kuhusu kujiuza kwa buku tatu mpaka buku na hii tabia wameitoa Uganda.
Nilitembelea miji kadhaa Uganda kama na nikajirizisha bila shaka kule ni kitu Cha kawaida na madanguro yametapakaa.
Wanyakyusa Ushamba na ujeuri usipokuwa makini watoto wako badala wawe na majina ya kipare basi wataitwa Lugano, Ipyana ,Gwalugano na mengineyo.
Wasafwa ni wachafu na usimtazame Masogange kama wote wapo vile.
Wanyiha ni makatili na ndugu zao Wanyamwanga na ndio jamii zinazo ongoza kufanya mauaji nyanda za juu.
Madem wa Arusha wakorofi na visu wanatembea navyo
Madem wa Dar nyodo na kiswahili kingi
Madem wa Mbeya sura za baba zao ila mikia Mungu kawajaharia
Madem wa Tanga wapole kwa asilimia kubwa
Tabia za kabila fulani huwa ni jumuishi na ni mwenendo wa kizazi hadi kizazi hata kama kamoja katakuwa na tabia tofauti.
Hao pia ni malaya tu kama Dada zako (Binamu zangu)Sasa kuna kabila wanafuatwa na watu watano alafu analiwa na wanaume wanne kati ya hao watano
Huo uwiano kimahesabu unajieleza
Nashukuru hujapinga nilichoandika.Hujui Utamaduni wa Makabila ya Tanga na wapare unaendana?
Hizô roho mbaya mnazozisema ni kutokana na tabia ya Wazee kupenda Haki, hawataki konakona. Hiyo inawafanya wawe Wanoko.
Haki ukiifuata lazima uonekane unaroho mbaya.
umalaya kwa wanawake unasababisha mpasuko kuongezeka sana na kuwa mwanya na kuwa mkubwa zaidi na wazi muda wote.
Acheni Tabia hiyo maramoja....
Hii sampling yako ni KaliKwa Wapare suala la uzuri sio la kuuliza.
Ni wewe tuu haujui.
Nimekupa homework kati ya Wapare kumi unaowajua wafanyiwe tathmini
Kumbe eeeeh, wewe ni shemeji yangu rasmi Joannah 🤣Ni wazuri sana...nikiangalia vitoto vyangu auuuhh....ila sivipikii makande
..........Picha ya Mpare mmoja tafadhali
Ha haaa nikifikiria kupika makande siku nzima nachoka kabisa!watakula huko kwao milimani hukoKumbe eeeeh, wewe ni shemeji yangu rasmi Joannah 🤣
Hakikisha vinakula kande mara moja moja, hakikisha vinaenda milimani mara moja moja, hakikisha vinabonga kipare walau cha kunywea maji.