Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Kitendo Cha kubadilisha wanaume 1000 ndio Umalaya wenyewe huo.
Au kwako tafsiri ya Malaya ni nini?

Hujataja sifa nyingine ya uchoyo na roho mbaya

Usiache na ile sifa ya uchawi kule kwenu, vizabi zabina na kutokuwa na kifua.

Ukifanya nao kazi hawa jamaa ni watu wenye ghiriba na hila nyingi.

Sijawahi kusikia kama wapare ni kabila lililopo kwenye Tano Bora ya uzuri Tanzania.

Lakini sikupingi labda ungeanza kutuambia ulitumia vigezo gani? au sifa ya ufupi! Usiwasahau na nduguzo Wawanji, Wabena ,Wakinga, Wapangwa na Wamanda ili mkamilishe tano bora.

Wanyaturu, Wanyiramba, Wanyisanzu na Wataturu wa porini kule ulienda kutoa posa utamkula kuanzia mama mtu mpaka shangazi zake.

Warangi sifa Yao ni uchawi kama unabisha kaoe.

Wahaya ni mapioneer kwenye miaka ya 60 mpaka Sasa kuhusu kujiuza kwa buku tatu mpaka buku na hii tabia wameitoa Uganda.

Nilitembelea miji kadhaa Uganda kama na nikajirizisha bila shaka kule ni kitu Cha kawaida na madanguro yametapakaa.

Wanyakyusa Ushamba na ujeuri usipokuwa makini watoto wako badala wawe na majina ya kipare basi wataitwa Lugano, Ipyana ,Gwalugano na mengineyo.

Wasafwa ni wachafu na usimtazame Masogange kama wote wapo vile.

Wanyiha ni makatili na ndugu zao Wanyamwanga na ndio jamii zinazo ongoza kufanya mauaji nyanda za juu.

Madem wa Arusha wakorofi na visu wanatembea navyo

Madem wa Dar nyodo na kiswahili kingi

Madem wa Mbeya sura za baba zao ila mikia Mungu kawajaharia

Madem wa Tanga wapole kwa asilimia kubwa

Tabia za kabila fulani huwa ni jumuishi na ni mwenendo wa kizazi hadi kizazi hata kama kamoja katakuwa na tabia tofauti.
 

Hujui Utamaduni wa Makabila ya Tanga na wapare unaendana?

Hizô roho mbaya mnazozisema ni kutokana na tabia ya Wazee kupenda Haki, hawataki konakona. Hiyo inawafanya wawe Wanoko.

Haki ukiifuata lazima uonekane unaroho mbaya.
 
umalaya kwa wanawake unasababisha mpasuko kuongezeka sana na kuwa mwanya na kuwa mkubwa zaidi na wazi muda wote.
Acheni Tabia hiyo maramoja....
 

Kwa Wapare suala la uzuri sio la kuuliza.
Ni wewe tuu haujui.

Nimekupa homework kati ya Wapare kumi unaowajua wafanyiwe tathmini
 
Sasa kuna kabila wanafuatwa na watu watano alafu analiwa na wanaume wanne kati ya hao watano
Huo uwiano kimahesabu unajieleza
Hao pia ni malaya tu kama Dada zako (Binamu zangu)
Yaaani ukioa Mpare siku ukitembelewa na ndugu wakiume asiye wadamu kabisa,Usilale usingizi. Wanatabia yakulana sana ndugu kwa ndugu.

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…