Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Asante
 
Zamani nilijuaga weupe ni uzuri kumbe ni propaganda za western people and Asian to inferiorize black race.
Masalio ya ukoloni ni kwamba makabila yenye rangi(light skin) hudhani kuwa ni wazuri kuliko weusi tiii kama wasudan.
Dhana ya uzuri imebaki kuwa jambo lisiloeleweka kwa mtu mweusi duniani.
Wewe ni mmoja wa watu waliomezwa na fikra za kikoloni juuu ya uzuri wa mtu.
Unakuta mpare mmoja makalio kapigwa pasi halafu mtu anakwambua eti ni mzuri kisa ana karangi fulani hivi.
Swali ni je kama weupe ni uzuri wanawake wa kizungu /kiarabu/kichina/kihindi wote ni wazuri.
Mtoa mada japo hujasemea weupe ila naelewa watu wa maeneo ulootaja hawana zaidi ya uweupe.
Kwa nini mwonekano wa tofauti wa kimaumbile uwe uzuri ?
Je kundi lenye mwonekano unaofanana wote ni wazuri ?
Tabia ya kushadadia uweupe imepelekea waafrika shababi kuoa vimwanamke vya hovyo huko ulaya na china na baadae kujutia sana.
Huwezi kuniambia mbantu ni mbaya kuliko mmasai wakati watu hao ni tofauti kimaumbile. Fananisha mnyakyusa na mmakonde, muhaya na muha(they are all bantus). Mmasai na mtusi, muiraki na msomali( all noloyics) mwarabu na muhindi( Asians).
Unamlinganisha vipi mchaga na mwarabu kutafuta mzuri hali hawafanani kwa maumbile yao rangi zao nk.
DUNIA IPO KATIKA UJINGA NA UWONGO SANA Iila nambo yaliozoeleka huwa tanaonekana au kufikirika kuwa ni ya kweli hata kama hayana ushahidi wa kisayansi.
Any way dada zenu ni warembo kwa nyinnyi kaka zao.
Miaka ya 90+ pale shinyanga hakuna kundi la wanawake na wanaume lililokuwa linadharaulika kama wanyiramba na ndugu zao. Ukioa wale ulikuwa unachekwa mno. It was very inferior group in Shy social construct!
Unipinge kwa hoja.
 

Mzuri ni mzuri bila kujali ni mweupe au mweusi.
Watusi wengi ni mji ya kunde na weusi lakini ni wazuri mkuu
 
@@mshana jr
 
Kitendo cha kuwatetea wambulu kuwa sio Malaya ni kutukosea heshima watu wa pwani

Wambulu ni Malaya balaa.

Nina ushahidi

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Ila jamani acheni utani,daaaaaah,
Wanatoa mizigo hao,hawajui kukataa kikubwa maokoto yako tu.

Nipo mwaka wa pili hapa Wilaya ya Mwanga nimewalala zaidi ya dazeni,halafu wana UTI haooooooo sijui kwa sababu ya ukame,maji ni kipengele hawaoshi K vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…