ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ajabu sana, sijawahi hata mmoja, nawaheshimu🤣🤣BAhati mbaya hata huwafaidi😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu sana, sijawahi hata mmoja, nawaheshimu🤣🤣BAhati mbaya hata huwafaidi😂😂
Unataka kula ndg?Ajabu sana, sijawahi hata mmoja, nawaheshimu🤣🤣
Halafu ukijua ndio itakuweje sasa?😁😁Nataka kujua matrillion yaliyotajwa na CAG yameenda wapi?
Wanigawie kekiHalafu ukijua ndio itakuweje?🙂
She mu nakuona😂[emoji38]
Duh ni balaa zitoNakadori alitembea na mjomba ake na yeye mwenyewe alieleze jins alivyo liwa kimasiara na mjomba ake
Hahahahahah mayonaizi kwenye kande😍😍😍Ila jamani nawezaje kukapa haka ka beutiful soul makande?si kanaweza omba kawekewe mayonise??🤣
Basi tu vurugu hataki kandeHahahahahah mayonaizi kwenye kande
Sijawah kuwaelewa hawa watu.Wahaya wana maumbo mazuri, kuna Wahaya wamechanya na Watutsi ni level nyingine.
Wahaya wana uzuri uliojificha.
Alinisimulia Kapeace 😂😂
Hujawahi kukutana ya krim ya kihayaSijawah kuwaelewa hawa watu.
Good! nidhamu imezingatiwaAjabu sana, sijawahi hata mmoja, nawaheshimu🤣🤣
Hujachanganya na waluguru Kweli bro?hiyo vifupi kwema?Mtu anayesema Wapare wazuri sijawahi kumuelewa. Viwanawake vyenyewe vya huko vifupiiii vichoyooo
Waluguru uswahili na UmalayaHujachanganya na waluguru Kweli bro?hiyo vifupi kwema?
Dah,Sasa kabila gani sio Malaya?Waluguru uswahili na Umalaya
Mimi najuaDah,Sasa kabila gani sio Malaya?
Wapare kwa vile wananipenda, nawapenda pia😂