Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Mleta mada badala ya kuchutama unakuja kufungua mada ya kujichoresha zaidi? [emoji3][emoji28]

Muungwana akivuliwa nguo huchutama.

Sasa wewe unakuja kujifunua nyevu jamani?!
 
Kwema Wakuu!

Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.

Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.

Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu. Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.

Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae. Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.

Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi. Acheni wivu.

Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.

Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.

Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.

Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao. Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.

Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.
hivi we
Povu Rukhsa!
hivi wewe unayesema wapare wazuri, ni wapare wa wapi hao na ufupi ule? au huwajui wapare?
 
Wapare hawajawahi kutajwa kwenye umalaya wala kwenye uzuri. Sifa zao kuu ni mbili tu, ufupi na ubahili. Labda wewe Taikuni ndo unataka kuwaanzishia hayo maneno. Wambulu, warangi na wanyaturu ndo wamekuwa wakitajwa sana kwenye hizi tabia za kugawa papuchi hovyo. Ushahidi ni mwingi sana. Wana matukio mengi. Kuna mtanzania kwa kabila Mbulu anatrend mtandaoni kubadili jinsia kutoke ME kwenda KE.
 
Wapare hawajawahi kutajwa kwenye umalaya wala kwenye uzuri. Sifa zao kuu ni mbili tu, ufupi na ubahili. Labda wewe Taikuni ndo unataka kuwaanzishia hayo maneno. Wambulu, warangi na wanyaturu ndo wamekuwa wakitajwa sana kwenye hizi tabia za kugawa papuchi hovyo. Ushahidi ni mwingi sana. Wana matukio mengi. Kuna mtanzania kwa kabila Mbulu anatrend mtandaoni kubadili jinsia kutoke ME kwenda KE.
wapare kwenye umalaya wapo ndugu. mtaniwia radhi wapare kama nitawakwaza. umalaya, ubahili, uchoyo, wivu, uchawi na ufupi. kama nadanganya semeni. kama ulishawahi kufanya kazi au biashara na mpare usiijue roho yake basi ulipigwa dawa usiwajue.
 
Mkuu,
Makabila yote yana me na ke wapenda ngono, yaani huwezi kusema "kabila x ni super specialized" wa ngono!


Kuna kuzidiana.

Kwa kuangalia wastani wa wengi jinsi wanavyoenenda ndipo kisha jamii ina conclude kuwa kabila fulani wako hivi na vile lakini huwa sio wote 100% Ila walio wengi kwa wastani unakuta ni kweli wana behave hivyo vinavyosemwa.

Take time fuatilia ishi nao jirani jamii moja utakuja kuona.
 
Mm sijawahi kusikia kuhusu Wapare kuwa Malaya.Labda Kwa hayo Makabila mengine uliyoyataja.Wapare wakati ninakua nilisikia kuwa ni bahiri Sana.Wanakula makande week mzima pia ni wakorofi wakorofi.[emoji3526][emoji3526]
Mimi ni Mkinga OG.
Nimeoa Uchaggani
Nategemea mchagga aniongezee maujuzi ya kiuchumi nikichanganya na haya ya Kikinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kuzikwa muda si mrefu



Mchaga na pesa ni hatari
 
Exactly, sunnah wangu mbona katulia sana, ananipenda mnooo [emoji4]
 
Back
Top Bottom