fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Sisemei hyo naaemea ule mmmmmah yenyewe kabsa mfano marehm kundambanda alivokua abaigiza ile mmmmaaaaah ya kushangaa kbsammaa ni mama pale watoto wanapowaita mama zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisemei hyo naaemea ule mmmmmah yenyewe kabsa mfano marehm kundambanda alivokua abaigiza ile mmmmaaaaah ya kushangaa kbsammaa ni mama pale watoto wanapowaita mama zao
MBNA umeguna ...?Mmmmh
Kwakweli sijaelewa nashindwa kujibu mkuuSisemei hyo naaemea ule mmmmmah yenyewe kabsa mfano marehm kundambanda alivokua abaigiza ile mmmmaaaaah ya kushangaa kbsa
Hiyo ya wabondei BooHello JF members
Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa...
1. Waarusha/masai - shee...
2. Wa haya - shoo...
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee...
6. Sukuma - ishh/hiiii...
Kabila lako wanashangaaje?
YoooWanyaturu-yuu!
Wafipa-Khaaaa!!!!Hello JF members
Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa...
1. Waarusha/masai - shee...
2. Wa haya - shoo...
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee...
6. Sukuma - ishh/hiiii...
Kabila lako wanashangaaje?
Hello JF members

Ndio hakuna wasukuma wewe ulitaka nimtaje mboweKwani usipomtaja jpm comment yako inakuwa na mapungufu?? Inamaana bila jpm hakuna wasukuma??
Hatari sn
Afu hilo jina lako mkuu😂😂 matanga gani?Utwamasiku kikolo??najua utakuwa mnyakyusa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]