Makabila na jinsi wanavyoshangaa

Wamakonde-- Baaah
Wamakua-- Chaaaa! Au Mamaneeee!
Wahehe--- Nyee,! Beeeh
 
Haya mambo ya makabila sitaki kuyasikia, tupo na mchumba mda mrefu muda wa kutambulishana umefika wazee pande zote hawataki tuoane kisa makabila,, inauma mnoo!
 
Haya mambo ya makabila sitaki kuyasikia, tupo na mchumba mda mrefu muda wa kutambulishana umefika wazee pande zote hawataki tuoane kisa makabila,, inauma mnoo!
Mie kipengele dini mkuu! Wamenigonga mahari hela ya vits ili nitokomee kabisa dahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mna makabila gani?

Bora wewe mkuu mimi wazee wake hawataki kunisikia na wangu pia wamenambia kama nataka kumuoa nimuoe ila hawana baraka zao kwetu!
 
Hello JF members

Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa.
1. Waarusha/masai - shee.
2. Wa haya - shoo.
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee.
6. Sukuma - ishh/hiiii

Kabila lako wanashangaaje?
Mayi wasuuu!!!

Maya weeee!! ndajibhireha!!

Yuhi!!! Omwana wo mwana wasu unuuuu!!!

Hapa jua ni mshanga wa haya makabila kwa ujumla wao!
Wajita, Waruri, Wakwaya, wakerewe, wahaya, wanyambo, waganda, wa Ethiopia, Sudani kusini ndo zao!! haya yoote haya sengenyani!!
 
wasukuma bagoshaaaa/bageshiiii
 
Hello JF members

Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa.
1. Waarusha/masai - shee.
2. Wa haya - shoo.
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee.
6. Sukuma - ishh/hiiii

Kabila lako wanashangaaje?
Wamakonde baah au maah
Yesu na maria ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…