Makabila na jinsi wanavyoshangaa

Makabila na jinsi wanavyoshangaa

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Hello JF members

Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa.
1. Waarusha/masai - shee.
2. Wa haya - shoo.
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee.
6. Sukuma - ishh/hiiii

Kabila lako wanashangaaje?
 
Usseri ■ Atubajamaee..
Niggaz■ What the F @ € I<.
 
Back
Top Bottom