Makabila na jinsi wanavyoshangaa

Makabila na jinsi wanavyoshangaa

Hello JF members

Hebu tuangalie makabila ya Tanzania na jinsi watu wake wanayo shangaa...
1. Waarusha/masai - shee...
2. Wa haya - shoo...
3. Chaga - mburaa/mbuta
4. Bondei - boo
5. Sambaa - tee...
6. Sukuma - ishh/hiiii...
Kabila lako wanashangaaje?
Hapo kwenye namba 3 huko sio kushangaa,hicho ni kiungo cha uzazi cha mwanamke kwa kichaga,usitaje hio mbele ya MTU unaemheshimu km mama nk,wamezoea tu kutamka ila anapotamka anaangalie na watu alionao na heshima zao ndo maana cku hiz hata akitamka halisemi vizur ukaelewa,ana kua km anabadili matamshi
 
Back
Top Bottom