Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Mpaka hapa sijapata historia japo kwa ufupi wa Wairaqwi,waburunge,Wasi na wafyomi
 
Wairaqw ndio kabila pekee Tanzania lenye watu serious, hakuna mwiraqw Fisadi, hawajui kusema uongo, ni wapole lakini wapo serious na kazi, hawapendi kuonewa wala kuona mtu anaonewa, hawadanganyiki. Kama Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka basi itutumie vizuri kuongoza nchi.
Hivi Sumaye siyo Muiraqw yule? Mbona hatujauona huo uongozi wake uliotukuka?
 
stroke Rudi secondary school hasa form two na uzingatie sana somo la History na Civics, Haya ndiyo madhara ya kusoma shule za kata sasa.
Umehitimu mpaka degree ulipata lakini hata historia ya nchi yako hujui?

Kwa taarifa yako hapa unaongea na mtaalam wa historia..yote hayo unayoyataja nina A..dhumuni langu ni kupata mtiririko mzuri wenye ukweli na si kupotosha...historia kamili..zote hizo n ihadithi tu za kuunga unga
 
mwakikola, aganwa ganyu, mtwiye omukanwa na agashongo! Bulimunt omuns eg natamwa abahaya, tukabakoshezak? Nyerere nae akatutamwa, nainywe abanaku mtutamwa, mulayemanya
 
wahaya kuna mdada alifukuzwa uganda alibeba mimba hakujua aliempa mimba maana alikuwa ametembea na wanaume wengi akakimbilia kagera ndo maana wanapenda sana kk security

utajiju, mbona wanaume wa kihaya na wadada wanapendeka?
 
Wanyakyusa Wanyakyusa (pia huitwa Wangonde au Wasochile) ni jina kwa ajili ya watu wanaoishi kwenye wilaya ya Rungwe katika sehemu za kusini za Mkoa wa Mbeya (Tanzania) upande wa kaskazini ya Ziwa Nyasa. Lugha yao ni Kinyakyusa. Mara nyingi Wagonde
upande wa kusini ya mto Songwe nchini Malawi huhesabiwa pamoja nao katika kundi lilelile.

Kihistoria watu wanaoitwa leo Wanyakyusa waliitwa Wakonde na Wanyakyusa walikuwa kabila kubwa kati yao. Wakati wa karne ya
20 "Wanyakyusa" imekuwa jina la kundi kwa jumla. Hadi leo kanisa la kilutheri la KKKT linatumia jina "dayosisi ya Konde" kwa eneo lake katika mkoa wa Mbeya. Wakati Wajerumani walipofika sehemu za kaskazini ya Ziwa Nyasa mwisho wa karne ya 19 hawakuona tofauti ya kimsingi kati ya watu wa Malawi kaskazini na wale wa sehemu za Rungwe wakawaita wote "Wakonde" kutokana na jina lililokuwa kawaida ziwani.

Leo hii ni watu zaidi ya milioni wanaojumlishwa kwa jina hili, takriban 700,000 wanaokaa upande wa Tanzania na 300,000 wakikaa
Malawi. Viungo vya Nje The Nyakyusa Homepage "Wakonde" katika Kamusi ya Koloni za Kijerumani (1920) Marcia Right, Nyakyusa ults and Politics in the later Nineteenth Century; in: Ranger - Kimambo, The Historical Study of African Religion, Berkeley & Los Angeles 1972 (google book review).
 
7267398228_b517090c63_z.jpg
Mabinti wa Kidatooga (Wairaqw)
 
My sister kaniambia eti ukiolewa na mtu kutoka kabila wanao tairi wanawake, ukienda kijijini kwao wakijua kama kwenu hamtairiwi basi wanakukamata kwa nguvu na kufyeka, kweli au msemo?.

Kwaiyo ningependa kujua makabila gani wanatairi wanawake nchini Tanzania?
 
Wote Mmeshaelewa mpeni jibu.
Kwa kuanzia
1. Wanyaturu
2. Wanyeramba
3. Washashi
4. Wambulu
5. Warangi
6. Wameru
 
My sister kaniambia eti ukiolewa na mtu kutoka kabila wanao tairi wanawake, ukienda kijijini kwao wakijua kama kwenu hamtairiwi basi wanakukamata kwa nguvu na kufyeka, kweli au msemo?.

Kwaiyo ningependa kujua makabila gani wanatairi wanawake nchini Tanzania?

Ili iwaje?
 
Ukijua au tukijua itatusaidia nini? Ingawa habari hii inaweza kutufumbua macho, si rahisi kujua kwa vile haya mambo yanafanyika kisirisiri. Utaambiwa warangi na wengine bila kutaja wamachame au tuseme waarabu koko. Again tutafaidikaje na hili hasa wakati huu wa dot com?
My sister kaniambia eti ukiolewa na mtu kutoka kabila wanao tairi wanawake, ukienda kijijini kwao wakijua kama kwenu hamtairiwi basi wanakukamata kwa nguvu na kufyeka, kweli au msemo?.

Kwaiyo ningependa kujua makabila gani wanatairi wanawake nchini Tanzania?
 
Back
Top Bottom