BIG X
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 777
- 212
Dada zao sasa!
Kama unapajua Arusha unaelewa nazungumzia nini.
Ninaposema wairaqw namaanisha wambulu original, sio hata wale wanaojifanya nao ni wairaqw au wanaoishi maeneo hayo, sababu kuna wasomali nao wanajiita wairaqw. dada zetu wa kiiraqw hawana hiyo tabia.