Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
hii kali kweliff kweli walitokea huko misri wakakimbia ile sheria ya ukikamatwa unaiba unakatwa mikono yako ndo wakaja kujificha nyuma ya mlima kilimanjaro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii kali kweliff kweli walitokea huko misri wakakimbia ile sheria ya ukikamatwa unaiba unakatwa mikono yako ndo wakaja kujificha nyuma ya mlima kilimanjaro
mh! Sidhani. Mbona wasandawe wanajua ela lakini sio wapare
kumbe wote wachaga
usibishe Mkuu, ukishajua hela wewe mchaga tu.
kumbe wote wachaga
wahaya kuna mdada alifukuzwa uganda alibeba mimba hakujua aliempa mimba maana alikuwa ametembea na wanaume wengi akakimbilia kagera ndo maana wanapenda sana kk security
ahahaaa utani bwana mimi mwenyewe mhayaUna wivu sana au ulikataliwa na bwana wa kihaya?
ahahaaa utani bwana mimi mwenyewe mhaya
Wairaqw ndio kabila pekee Tanzania lenye watu serious, hakuna mwiraqw Fisadi, hawajui kusema uongo, ni wapole lakini wapo serious na kazi, hawapendi kuonewa wala kuona mtu anaonewa, hawadanganyiki. Kama Tanzania inahitaji maendeleo ya haraka basi itutumie vizuri kuongoza nchi.
Na Mbulu ndiyo jimbo pekee Tanzania iliyokuwa na mgombea binafsi miaka ya 65 (Chifu Sarwatt) baada ya kukataa kipenzi cha Nyerere Amri Dodo.
Ila Sumaye ni Fisadi, na yele jamaa wa Tanapa naye Fisadi