Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,165
Wamenituma uwaeleze maana ya KK security bana SMILE
halafu wewe ni mhaya pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenituma uwaeleze maana ya KK security bana SMILE
wachagga walitokea kaskazini huko, walifukuzwa kwa kakale katabia kao, wakaja kujificha chini ya Mlima na ndio mpaka leo.
Dah ndo maana ikipita siku bila kuingia jF huwa najihisi kugonjwoka.
kabila gani wewe labda ninahistoria yenu?
Mmaimu.
bora yangu mie 0.5 wa kimankiki na kichwele.
Orijino yetu ni komedi.
kaazi kweli
mh! Hata nimeuliza google hawajui mko wangapi kwenye kabila lenu?
hiyo ya wasambaa wewe ndo umesema wapare na wameru tunasikilizana
wachaga wachaga! Haya kama wapare ni wachaga mbona wapare sio wezi?nini kinakera?
wachaga wachaga! Haya kama wapare ni wachaga mbona wapare sio wezi?
Kwahiyo mpare ni mchaga na mmeru ni mchaga na mchaga ni mchaga na msambaa ni mchaga kila kabila ni wachaga?
Tunaendesha jimbo la Siha.
kweli?!
mh! Ndo wapi huko lizzy
wachaga wachaga! Haya kama wapare ni wachaga mbona wapare sio wezi?
ukishajua hela utakuwa mchaga tu
ukishajua hela utakuwa mchaga tu