Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Nahisi wewe sio mkurya kama kweli ni mkurya nitajie kabila lako


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kwanini unadhani mimi sio mkurya dada yangu musubhati?

uni nu umukurya mokenye,weito mbokenye ! nu umuhiri wambura nde!

oneerende!?
 
Kwanini
unadhani mimi sio mkurya dada yangu musubhati?

uni nu umukurya mokenye,weito mbokenye ! nu umuhiri wambura nde!

oneerende!?

mkuu,anataka hadi umsalimie 'amang'ana' ndo aamini,mkuu ila nyie watata ila ka wehu vile,sasa kuchinjana ndo staili gani hzo?
 
1.kijani
hawana hasira hao,ila wana chuki !
-wachoyo kimtindo
-wana mioyo ya kisasi

2.Blue
to some extent naweza kubaliana na wewe
-sio wanafiki hata chembe
-wanachapa kazi si mchezo
-jasiri,sio waoga!
-wana misimamo
-watata
-hawapendi kuonewa
-wana kisasi

3.Red
hapo upo totally wrong,hawa wengi wao waliosoma ni walimu,hasa wa shule za msingi na sekondari,na maafisa elimu pia..kwa kifupi wapo sana katika idara ya elimu
kitabia:waoga sana...wanapenda sana kujikubali(kwa mbali wanafanana na wahaya na wanyakyusa,ila wanyakyusa wao wanajikubali pasipo lolote!
watoto wa kike wao wanazalia sana nyumbani i.e kabla ya kuolewa na ukimtaka mwanao unampata kiroho safi,yeye anaendelea kugawa mzigo na kutafuta wanaume wengine wa kumzalisha tena!

hayo makabila nayafahamu kwa undani kwa sababu nimeishi nayo sana.....kabila jingine ninalolifahamu pia ni wajaluo,ila mtoa mada hajaliweka hapa!!

sorry kama kuna watu watakwazika na mtazamo wangu!


Mwisho,naomba ku declare interest,

mimi The Magnificent ni mkurya!

Ego jaji..ulivyotudescribe humu...tukikupata utajua wenye hasira ni wakurya ama wajita...
 
mkuu,anataka hadi umsalimie 'amang'ana' ndo aamini,mkuu ila nyie watata ila ka wehu vile,sasa kuchinjana ndo staili gani hzo?

hawa ili kuwapunguzia utata waache kuchinjana laba serekali iamue maswala ya kuchinja badala yafanywe na dini au dhehebu fulani tuwape hawa jamaa wamalizie hasira zao kwa wanyama
au [MENTION] The Magnificent[/MENTION]unasemaje pengine lengo lenu ni kuona damu tu
 
Sifaham hata wamakua ni watu wa wapi!
Jaribu kutuulizia ndugu zako, halafu utujuze.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwa Tanzania nafahamu wako saaaaana huko mikoa ya kucn kama wamakonde origin yao ni Msumbiji kwa kuuliza ndg cpati jibu maana n bibi mzaa baba ndio aliingiza ili kabila kwenye ukoo tena kwa watt wawili mmoja akafa akiwa mdogo sana na baba yangu ambae nae alifarik 1999 bibi nae ashatutoka na bahati mbaya nimelelewa upande wa mama ss hapo hata wa kumuuliza hakuna ndg
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;

1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya

2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita

3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.

4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi

6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe),

Ongeza yako unayoyafaham.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

na wanaopenda ku-do sana ni yapi?
 
Hili neno linanifurahisha 'Anyone'
Kwa kingereza lina maana ya YEYOTE
Kwa kijita lina maana ya HATA MIMI

hahaha
Au wajita mnasemaje
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi:

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums


Hebu chukua tano best.
 
Haya wambura kumbe ni original hata me monyabasi wa wegelo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Kwanini unadhani mimi sio mkurya dada yangu musubhati?

uni nu umukurya mokenye,weito mbokenye ! nu umuhiri wambura nde!

oneerende!?

Sababu watu wengi hujiita wakurya kwa sababu wanatoka mara sasa ili ujue kama kweli ni mkurya muulize aseme kabila lake maana hata wasweta, wakabwa wanajiita wakurya kwa kuwa wewe ni mbokenye wa bukenye ndio nimeamini kuwa ni mtoto wetu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom