Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa makabila ya wavivu nakubaliana nawe kabisa.
Je wa kigoma waha wana sifa gani.....teh
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;
1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya
2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita
3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.
4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba
5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi
6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe),
Ongeza yako unayoyafaham.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wamakua wako Masasi nimesoma pale kwa kweli ni kabila la watu wapole sana hasa akina mama,ndio wanaokuomba ,ukiwa na kiu kali aka hamna shida kabisa.Mzee Nkapa nisamehe baba mkweSifaham hata wamakua ni watu wa wapi!
Jaribu kutuulizia ndugu zako, halafu utujuze.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Na kabila gani inapenda kuacha wake zao vijijini na wao wako mjini tena kimara wapo kwa wingi,
na escudo zao usiwasahau
Dooh!Kumbe mchaga nae msomi!?
MMhhh!!!!!! nasubiri wakujibu.Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;