Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Na kabila gani inapenda kuacha wake zao vijijini na wao wako mjini tena kimara wapo kwa wingi,
na escudo zao usiwasahau
 

wafanyakazi nimekubali; wasukuma, wabena nawapa tano
 
Sifaham hata wamakua ni watu wa wapi!
Jaribu kutuulizia ndugu zako, halafu utujuze.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
wamakua wako Masasi nimesoma pale kwa kweli ni kabila la watu wapole sana hasa akina mama,ndio wanaokuomba ,ukiwa na kiu kali aka hamna shida kabisa.Mzee Nkapa nisamehe baba mkwe
.
 
Waha wa kigoma wabishi hakuna tanzania nzima..
 
MMhhh!!!!!! nasubiri wakujibu.
 
Na kabila gani inapenda kuacha wake zao vijijini na wao wako mjini tena kimara wapo kwa wingi,
na escudo zao usiwasahau

Na wana heshimu saana ndoa yao hata waume wao wakiwa mbali, na wana chapa kazi aka KUBOTA
 
hapo kwenye wachawi na washirikina Makabila yote hapa tanzania yanajua uchawi sema wanaotisha zaidi sikatai kama ni WAFIPA, WAHA na WATU WA TANGA hao si mchezo
 
Takwimu hizi huenda hazijafanyiwa utafiti wa kutosha maana kuna makabila mengine yamepewa wasifu usio wenyewe, mleta thread fanya utafiti wa kina.
 
Na sie wazenji mbona mwatusahau yahe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…