Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Chuma ulete
 
Ukiona nimenyamasa ujuage nimekabaali be niangusage mwenyewe fanyaga ukimalisa funikaga- hilo nalo ni kabila gani?
 
Kama title inavojieleza hapo,uliza chochote au ongea chochote kuhusu wameru utajibiwa.

Kwa ufupi:

Asili yao ni Arumeru Arusha na lugha kufanana ni kwasababu ni makabila ambayo yapo karibu kwahyo mchanganyiko wa watu unasababisha maneno kutoholewa huko na kuletwa kwa wameru, lakin kwa stori zamani inasemekana kuna wamachame waliokimbilia Arumeru na ndo hao wameru
 
Wameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi hasa kijiografia?
 
Wanawake wa Kimeru nao wanang'olewa ving'amuzi ?
 
Wameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi hasa kijiografia?

Yaani umenena, nilikuwa naishi masama nikazoea kimachame sasa siku nilipo enda meru ah wacha nishangae.....
 

Nina mchumba wa kimeru. Ninyetishe mambo mhimu kuhusiana na wadada wakimeru.
 

Nakubaliana kabisa na wewe, ingawa mimi si mmoja wa makabila hayo
lakini nimeishi nao na ninaendelea kuishi nao, wengi ni rafiki zangu, jirani
zangu na jamaa zangu. Well done! Nakubaliana na wewe kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…