Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Chuma ulete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
"...WATU WANAJADILI KUHUSU MAKABILA!"-J.K.Nyerere.
Yaani bila hata kutaja mimi nilishakugundua ni mkurya kupitia "avatar" yako.....
mimi The Magnificent ni mkurya!
Ambee mbane
ArumeruWameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi t kijiografia?
mhm jamani sina la kusema mie
wameru wana hasira za karibu sana.
Wameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi hasa kijiografia?
Wanawake wa Kimeru nao wanang'olewa ving'amuzi ?
Asili yao ni Arumeru Arusha na lugha kufanana ni kwasababu ni makabila ambayo yapo karibu kwahyo mchanganyiko wa watu unasababisha maneno kutoholewa huko na kuletwa kwa wameru.lakin kwa stori zamani inasemekana kuna wamachame waliokimbilia Arumeru na ndo hao wameru
1.kijani
hawana hasira hao,ila wana chuki !
-wachoyo kimtindo
-wana mioyo ya kisasi
2.Blue
to some extent naweza kubaliana na wewe
-sio wanafiki hata chembe
-wanachapa kazi si mchezo
-jasiri,sio waoga!
-wana misimamo
-watata
-hawapendi kuonewa
-wana kisasi
3.Red
hapo upo totally wrong,hawa wengi wao waliosoma ni walimu,hasa wa shule za msingi na sekondari,na maafisa elimu pia..kwa kifupi wapo sana katika idara ya elimu
kitabia:waoga sana...wanapenda sana kujikubali(kwa mbali wanafanana na wahaya na wanyakyusa,ila wanyakyusa wao wanajikubali pasipo lolote!
watoto wa kike wao wanazalia sana nyumbani i.e kabla ya kuolewa na ukimtaka mwanao unampata kiroho safi,yeye anaendelea kugawa mzigo na kutafuta wanaume wengine wa kumzalisha tena!
hayo makabila nayafahamu kwa undani kwa sababu nimeishi nayo sana.....kabila jingine ninalolifahamu pia ni wajaluo,ila mtoa mada hajaliweka hapa!!
sorry kama kuna watu watakwazika na mtazamo wangu!
Mwisho,naomba ku declare interest,
mimi The Magnificent ni mkurya!