Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Chuma ulete
 
Ukiona nimenyamasa ujuage nimekabaali be niangusage mwenyewe fanyaga ukimalisa funikaga- hilo nalo ni kabila gani?
 
Kama title inavojieleza hapo,uliza chochote au ongea chochote kuhusu wameru utajibiwa.

Kwa ufupi:

Asili yao ni Arumeru Arusha na lugha kufanana ni kwasababu ni makabila ambayo yapo karibu kwahyo mchanganyiko wa watu unasababisha maneno kutoholewa huko na kuletwa kwa wameru, lakin kwa stori zamani inasemekana kuna wamachame waliokimbilia Arumeru na ndo hao wameru
 
Wameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi hasa kijiografia?
 
Wameru wananishangaza sana kuhusiana na ligha yao. Ina mchanganyiko wa maneno ya kichaga cha hai/siha. Asili ya wameru ni wapi hasa kijiografia?

Yaani umenena, nilikuwa naishi masama nikazoea kimachame sasa siku nilipo enda meru ah wacha nishangae.....
 
Asili yao ni Arumeru Arusha na lugha kufanana ni kwasababu ni makabila ambayo yapo karibu kwahyo mchanganyiko wa watu unasababisha maneno kutoholewa huko na kuletwa kwa wameru.lakin kwa stori zamani inasemekana kuna wamachame waliokimbilia Arumeru na ndo hao wameru

Nina mchumba wa kimeru. Ninyetishe mambo mhimu kuhusiana na wadada wakimeru.
 
1.kijani
hawana hasira hao,ila wana chuki !
-wachoyo kimtindo
-wana mioyo ya kisasi

2.Blue
to some extent naweza kubaliana na wewe
-sio wanafiki hata chembe
-wanachapa kazi si mchezo
-jasiri,sio waoga!
-wana misimamo
-watata
-hawapendi kuonewa
-wana kisasi

3.Red
hapo upo totally wrong,hawa wengi wao waliosoma ni walimu,hasa wa shule za msingi na sekondari,na maafisa elimu pia..kwa kifupi wapo sana katika idara ya elimu
kitabia:waoga sana...wanapenda sana kujikubali(kwa mbali wanafanana na wahaya na wanyakyusa,ila wanyakyusa wao wanajikubali pasipo lolote!
watoto wa kike wao wanazalia sana nyumbani i.e kabla ya kuolewa na ukimtaka mwanao unampata kiroho safi,yeye anaendelea kugawa mzigo na kutafuta wanaume wengine wa kumzalisha tena!

hayo makabila nayafahamu kwa undani kwa sababu nimeishi nayo sana.....kabila jingine ninalolifahamu pia ni wajaluo,ila mtoa mada hajaliweka hapa!!

sorry kama kuna watu watakwazika na mtazamo wangu!


Mwisho,naomba ku declare interest,

mimi The Magnificent ni mkurya!

Nakubaliana kabisa na wewe, ingawa mimi si mmoja wa makabila hayo
lakini nimeishi nao na ninaendelea kuishi nao, wengi ni rafiki zangu, jirani
zangu na jamaa zangu. Well done! Nakubaliana na wewe kabisa...
 
Back
Top Bottom