Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

mkurya na mjita huwa hawakubalian kabisa,,na wala mkurya hawez kumsema vizur mjita,,mkurya nikolofi lakin akifika kwa mjita uwa nakalishwa.
 
3. MAKABILA YA WAVIVU. inakuhusu wewe mwandishi.

Hakuna wachapa kazi km wasambaa ww nenda tanga ukawaone wanavyochakarika !!usiwe unaandika vitu kwa ushabiki na hali elim yenyewe ya research huijui
 
hapana bhanaaa mbona wanalima wanafanya kazi nyengine za kuwapatia kipato!!??? hivi ndugu yangu wasipofanya kazi kweeeli watakula hilo bao na kahawa!!???? MKUUUU ACHA KUKARIRI
Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!


Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Utani wa wanyamwezi na wangoni. Wangoni walipotoka Africa ya kusini walipania wafike hadi ziwa Victoria. Walipofika Tabora walikumbana na wanyamwezi. ikumbukwe kwamba wangoni walikua hodari sana kwenye vita kutokana na uzoefu toka Kusini. Wanyamwezi walitumia mbinu za medani kuwadhibiti wangoni kwa kuwatanguliza wanawake kwenye uwanja wa mapambano. wanawake ambao walikua hawana silaha. kila mngoni alipomuona binti wa kinyamwezi alianza mambo ya ndoa na kusahauvita hivyo wanyamwezi kuwaua wangoni wakiwa juu ya wanawake kirahiiiisi. wangoni kupenda chini hawakuanza jana.kwa mtindo huu wanyamwezi waliweza kuwatimua wangoni mpaka Songea walipo sasa. Heshima wangoni waliyowawekea wanyamwezi mpaka leo ndio ule utani wao ulio pitiliza. NEXT WAGOGO NA WASUKUMA
 

Bila shaka utakuwa unawafahamu vizuri sana waikizu, naomba unisaidie waikizu hasa wanawake wana tabia gani?!
 
Bila shaka utakuwa unawafahamu vizuri sana waikizu, naomba unisaidie waikizu hasa wanawake wana tabia gani?!

Mkuu,

Siwafahamu vizuri waikizu! Ila sidhani kama wana tabia mbaya,wangekuwa na mambo ya ajabu ningekuwa nishawasikia,Mkoa wa Mara wanawake wa kijita tu ndio SUMU,wengine wote nadhani wako poa,Waikizu na wazanaki wanaendana sana na Wakurya
 
Ukiona nimenyamasa ujuage
nimekabaali be niangusage mwenyewe fanyaga ukimalisa funikaga- hilo
nalo ni kabila gani?

wahehe hao yaani huitwa nyangusage ila sambi sote sako kwanza supi yenyew imesoboka.....wanahasira mpaka wanaweza kumeza wembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…