Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

ni wazuri sana! chukua wote kama unaweza. halafu baadae unauza kwa bei ya rejareja stock inapokuwa adimu mtaani
 
Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.

Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.

1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.

2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).

4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.

5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.

Mafanikio ya kidunia yatatokana na:

1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.

2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.

3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.

4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.

5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.

Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.

Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.

Asante
 
kwa hiyo neema ya yesu inapendelea wachaga,kuna zaidi ya maelezo yako na inaelekea unajua mafanikio yao yanatokana na nini,unataka kutuchanganya tu akina mzee augustine walivyokuwa wanavunja maduka ya watu nayo ilikuwa neema na injili ya bwana wetu yesu kristu?
 
Wachaga siku hizi hamna ishu kariakoo mnakimbizwa ile mbaya na wakinha huku mitaani kwenye vibiashara bidogo ndio mmeachwa miles nyingi labfa mnaongoza kwa dada zenu kuwa wengi kwenye mabar ya hapa town
 
Yesu wa Mkoa gani huyo maana wachagga wana Miungu yao huko kwao.
 
naona hii kabila limechanganyikiwa, vyuma vimekaza maana walizoea short-cut sahv hazipo na hawajazoea kazi ngumu. hawafugi, hawalimi wala hawavui, biashara zimedoda mikopo kibao wanayo. na bado!
 
eti siri ya mafanikio! wasichana wao wengi mabaamedi, wanajiuza, machinga wengi wao, wachoma chipsi, wapika supu mpaka vidole vimeoza. hawa watu wana shida
 
Wachaga siku hizi hamna ishu kariakoo mnakimbizwa ile mbaya na wakinha huku mitaani kwenye vibiashara bidogo ndio mmeachwa miles nyingi labfa mnaongoza kwa dada zenu kuwa wengi kwenye mabar ya hapa town
Kiongozi mbona akili yako ndogo sana biashara ya kariakoo nani kakwambia ina mwenyewe pale na pia ao wachaga mbona si wa kariakoo tu wapo kila mkoa kikubwa mleta uzi kajichanganta na wewe mchangiaji umechanganyikiwa zaidi.
 
Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.

Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.

1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.

2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).

4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.

5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.

Mafanikio ya kidunia yatatokana na:

1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.

2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.

3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.

4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.

5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.

Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.

Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.

Asante
Wachaga ilikuwa miaka hiyo mama angu.
Wachaga wamebaki kudominate kushona viatu,kukarabati saa pale mtaa wa Kongo,kuchoma nyama kwenye mabaa,ujambazi na siasa za chama cha mkwe wake mtei.

Hoko kwingine kwenye biashara zenye akili watafute wakinga,waha,watu wa kusini na wasukuma.
 
Wachagga ni wachapa kazi kabla hata ya wazungu na waarabu kuja.

Ni kweli hali ya kiuchumi ya wachagga kwa sasa sio nzuri. Hali hii mbaya ilianza baada ya vita vya Uganda, ilizidishwa na economic crisis ya miaka ya mwanzo ya 1980s. Wimbi la privatisation na kurekebisha mashirika ya umma liliwaumiza pia, kwani wafanyakazi wengi wachagga walipunguzwa kazini. Kuporomoka kwa bei ya kahawa miaka ya 1980s. Gonjwa la ukimwi liliwaumiza sana wachagga pia. Muamko wa kimaisha wa mikoa mingi ya Tanzania vile vile imetoa ushindani wa kiuchumi kwa wachagga. kumbuka ni haki, kwa mikoa yote kuamka kimaisha.

Baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 wachagga wengi waliondolewa kwenye system ya ndani, ingawa civil servants wachagga bado walikuweko.

Matatizo ya kiuchumi ya sasa ya nchi yalianza baada 2010. Baada ya 2010 serikali ndio once again ikaanza kukopa madeni ya nje kwa riba za kibiashara, hususan baada ya wafadhili kupunguza misaada kwasababu ya scandals zilizotokea wakati huo.

Kwa sasa familia nyingi za wachagga zimeyumba kiuchumi, ingawa wachagga wengi bado wanaweza kuafford vitu vya msingi. Bottom 1/3 wameyumba sana, 1/3 inayofuata wameyumba wastani. 1/3 ya juu wameyumba kidogo. Theluthi ya hiyo 1/3 ya juu, yaani 1/9 top economic group ya wachagga ndio bado wako vizuri. Wachagga vijana wasio na ajira, wachagga wenye ajira zenye mishahara midogo, wachagga wenye ardhi kidogo ya kilimo, wachagga wenye biashara ambazo hazipati faida, pamoja na wachagga wazee wengi wao wameyumba pia. Wachagga ambao wako vizuri ni wale wenye ajira nzuri zenye mishahara mizuri, wenye biashara ambazo bado zinapata faida, wenye ardhi kubwa ya kilimo, na shughuli nyingine ambazo zinaenda vizuri. Familia zilizoyumba kiuchumi mara nyingi huwa zinakuwa na mivutano ya ndani kwa ndani.

Uzi huu unawatia moyo wachagga wakumbuke nguvu yao ya mafanikio inatoka wapi. Na huenda original plan ya Mungu wa Israel ilikua Tanzania iongozwe na wachagga waadilifu tokea uhuru. Ila aliruhusu mambo yawe yalivyokuwa ili wachagga watakapo ongoza nchi makabila mengine yasinung'unike. Na vile vile watakapo ongoza nchi (au wasipo ongoza nchi) waishi kwa kumtegemea Mungu. Kwahiyo ni vizuri watu wakajua kwamba kuwasambaratisha wachagga waadilifu kunaweza kusimfurahishe Mungu wa Israel. Wachagga wawe na subira kwani kipindi cha miaka 70 baada ya uhuru kikija (mwaka 2031) basi hali ya wachagga inaweza ikaanza kua nzuri sana kwa kipindi kirefu. Kuna uwezekano pia hali hiyo isi improve. Pia kuna uwezekano baada ya 2031 akaja Rais mprotestanti atakaependa wachagga, kuna uwezekano hili lisitokee pia.

Pamoja na maelezo hayo marefu kuna wachagga wengi ambao Bwana Yesu anawapigania na kuwasaidia wafanikiwe kimaisha hata kwenye vipindi vigumu. Bwana Yesu pia anagusa mioyo ya watu wa makabila mengine na kuwafanya washirikiane vizuri na wachagga waadilifu. Also indeed ukiweza kuangalia mioyo ya watanzania waadilifu utaona wengi wao kisiri siri wana amini akipatikana Rais mchagga muadilifu, mchapa kazi, mwenye exposure, mwenye akili na ubunifu, nchi itapiga hatua kubwa sana kimaisha na kimaendeleo.

NB: Matatizo mengi yaliyo tajwa hapo juu yamewapata pia watanzania wengine. Also Bwana Yesu anawapenda watu wote.
 
Back
Top Bottom