Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Wako Vyema Jamani shemeji yenu MATLIDA amenitreat vyema sana sema nimemkosea naogopa kujirudi
 
Naona unatetea kabila pendwa hapo
[emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hili kabila humu ndani linapigwa vita sana sijui kwanini, wakayi mie naona sofa zao nyingi nzuri, haswa wanawake.
 
huku usije kwa sasa
 

Attachments

  • IMG_20161226_163240.jpg
    IMG_20161226_163240.jpg
    177.2 KB · Views: 55
Hawa usipowalizisha kitandani wapo radhi wafuate ukuni Kenya, ni wapiga kazi ila hakikisha upo sawa kitandani la sivyo watakusaidia wakenya...Hawa wanapatika tarakea,useri,mashati nk
 
Jf raha sana
Yaani data base za makabila yote zipo... itabidi waboreshe watutengenezee search engine iwe kama ya google au zingine
 
1.Wapiga mbege
2.Wapenda dushe
3.Wachapakazi(Shamba,biashara n.k)
 
Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada

karibu rombo...tabia yetu ya kwanza ni uaminifu ...yaan mwanamke wa rombo akikupenda hata aambiwe huyu mwizi hasikiii ,,,ya pili huwa tunapenda kuwaheshimu wanaume zetu kuliko vitu vyote ..ya tatu tunapenda kutafuta pesa,,,tu wahangaikaji sana yaan,, ya nne hatuna majivuno wala kiburi..hiki kitu tumenyimwa kwa kweli ..ya tano tu wapole sana yaan ...ya sita tunapenda kusali sana ...ya saba hata kama kwao ni matajiri hajionyeshi atajifanya wakawaida ...pia huwa wanapenda kusaidia watu wasiojiweza,kutoa misaada...pia wanawake wengi waliosoma ni waalimu

udhaifu wetu

ya kwanza tuna wivu wanaume sana .. ya pili mwanamke wa kirombo akiwa kwenye mahusiano anapenda mawasilino na mpenzie kuliko hata pesa...yaan hata usiwe unampa hata mia lakin ukiweza kudumisha mawasilino yaan anakuamin vibaya na anajua wew ni wa kwake pekee ake kumbe umewarundika wengi...ya tatu hawapendi kuzaa kabla ya ndoa ...yaan hata umdanganye vip hakubali anapenda kuipa heshima familia yake ni mara chache wanatokea waliozaa nje ya ndoa hapa inategemea na malezi na aina za familia...ya nne uaminifu uliopitiliza yaan hapa akiwa na jamaa hata atongozwe mara mia atawakataa wote wanaomtongoza hata iwe huyo jamaa yake hana mpango nae in short ni watu wanaopenda kukaa kwenye uhusiano wa muda mrefu na mtu mmoja hawajui kuchepuka,.
 
Back
Top Bottom