Siri ya mafanikio ya Wachagga ni neema na rehema ya Bwana Yesu Kristo. Bwana Yesu ndie amekua akiwasaidia kwa muda mrefu. Hata ule uamuzi wa mababu zao kusettle kwenye mlima Kilimanjaro ilikua ni msaada wa Bwana Yesu. Bwana Yesu ndie aliwalinda wasiwe katikati ya njia kuu za misafara ya utumwa. Aliwasaidia wawakubali wamissionari wakikristo. Aliwalinda wasinyang'anywe ardhi yao kipindi cha ukoloni. Aliwalinda na anawalinda dhidi ya fitina za kisiasa baada ya uhuru.
Ni muhimu sana kwa Wachagga kuijua injili ya kweli kabisa (bila kujali madhehebu yao) hata kama kwenye maisha yao halisi watakua hawaifuati kikamilifu.
1) Yesu Kristo kwa kiebrania ni Yahushua Mashiah. Yahushua maana yake ni YAHWEH is Salvation. YAHWEH ni Mungu wa Abraham, Isaac na Jacob.
2) Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
3) Siku takatifu ya kikweli kweli kabisa inaanza Ijumaa jioni (jua linapozama) na inaisha Jumamosi jioni (jua linapozama) (Seventh day Sabbath). Avoid kufanya dhambi muda huu (of course tunatakiwa tu avoid kufanya dhambi muda wote).
4) Waafrika weusi (including Wachagga) ni watoto wa Noah kupitia Ham kupitia Mizraim, Cush and Phut.
5) Ni vizuri watu wote (including Wachagga) wa avoid pride, arrogance, malice, hatred and envy.
Mafanikio ya kidunia yatatokana na:
1) Ku successfully participate in the major means of production, distribution and exchange in the economy in an atmosphere of low inequality.
2) Ku successfully participate in the neo-liberal global economy.
3) Kushirikiana vizuri na watu wengine, na kuavoid mahusiano yanayoleta hasara.
4) Majority ya Wachagga wajitahidi kupata elimu ya form 6 na kuendelea.
5) Kuishi a healthy lifestyle (including exercising), itakayowawezesha kuishi kwa muda mrefu huku wakiwa na afya njema kabisa.
Bwana Yesu Kristo anapenda mataifa yote yawe na nuru ya injili ya kweli. Anapenda kuwa na wafuasi kwenye mahema yote ya Shem, Ham na Japheth.
Ni vizuri watanzania waishi vizuri na kushirikiana vizuri na Wachagga (hususan Wachagga waadilifu) katika nyanja mbali mbali kama ambavyo wamekua wakifanya kwa muda mrefu. Ukiona Mchagga muadilifu ana mafanikio ujue sio kwa msuli au akili yake bali kwa neema ya Bwana Yesu Kristo. Kwa hiyo njia bora ya watanzania kufanikiwa ni neema ya Bwana Yesu Kristo.
Asante