Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Wanajukwaa amani kwenu.

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kufahamu maisha halisi ya kabila la Wakurya, mila na desturi zao. Bila shaka Wakurya wapo humu na ningependa kujifunza namna walivyo kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Karibu tuelimishane.
Tusubiri
Mazuri yote yatasemwa na wao wenyewe wakurya
Yale mabaya ya wakurya yatasemwa na wasio wakurya

Waiting [emoji63] [emoji63] [emoji63] [emoji63]
 
Mimi naulizia mila na desturi zao, kuhusu mazuri na mabaya ni tafsiri ya pande moja moja tu kwa sababu kibaya kwako kinaweza kuwa kizuri kwa mwenzako.
 
Wakurya hulelewa ktk mazingira/malezi ya kuwafanya wahimili kufanya kazi kwenye mazingira magumu eg. Jeshi n.k, wakurya ni wakarimu, wakurya wengi wanajua kuwa wizi ni njia halali ya kupata kipato(japo siyo wote), wakurya ni watafutaji wa mali ndiyo maana wametapakaa mijini na kila sehemu, wakurya ni jasiri bila kujali jinsia yao labda kama amekulia mjini, wakurya wanaongoza kwa kulima bangi huku wakisema kuwa ni dawa, wanakeketa na kutahiri wanaume, wanaoa wanawake wengi japo siyo wote, wanaoa binamu wa shangazi na mjomba ila siyo wa mama mdogo, wanauwezo mkubwa wa kurusha mishale kwa shabaha, pia ni wawindaji ktk mapori madogo na makubwa, wanapenda kumiliki silaha kwa ajili ya kujilinda au kuibia (kwa mfano: MWITA CHACHA MARWA,huyu alikuwa mwanajeshi aliyepigana VITA YA UGANDA lakini alichokifanya Tarime baada ya vita,imebakia stori).
 
Mkuu kuhusu ukakamavu na ujasiri nimeona wakurya wengi wanao hasa vijana na pia wanapenda kujiweka fiti, vipi kuhusu hiyo mila ya kuoa mabinamu ni mila ya kabila zima au ni baadhi ya koo zao tu?
 
ni koo zote, ila bnamu wa mama mdogo hawaruhusu kuoa.
 
Mkuu kuhusu ukakamavu na ujasiri nimeona wakurya wengi wanao hasa vijana na pia wanapenda kujiweka fiti, vipi kuhusu hiyo mila ya kuoa mabinamu ni mila ya kabila zima au ni baadhi ya koo zao tu?
Ni kabila zima na pia naona hata kwa Waruri, Wajita, Wakwaya, Wahacha,Wasweta,Wasurwa, Wasimbiti n.k pia hufanya hivyo na nami nawaunga mkono kwa kuwa ni jambo jema.
 
Back
Top Bottom