Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
mnhuuuuuUkiwa mtu mwema huna haja ya kuwaogopa hata kidogo.
Ukiolewa na mkurya ukiwa muaminifu utafurahi ila sasa ukiwa kicheche utajuta kwa kipigo maana mkurya ana wivu nadhani anaweza kuongoza kwa wivu duniani.