Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Mtoa uzi naona hujapata vizuri ulichouliza.

Umeuliza mira na desturi watu wametaja tabia.

Zifuatazo ni baadhi ya Mira na desturi zetu:

1. Mkurya akizaa watoto wakike tu, wakiolewa lazima make wake na yeye aoe mwanamke mwenzake ka mkamwana wake.

2. Mtoto wa kike kama hajatairiwa haruhusiwi kufungua zizi la ng'ombe

3. Ukiamka tu kabla hujatoka, lazima uende kuwasalimia wazazi hata kama itakuwa saa nane za usiku

4. Mwanamke akiolewa na watoto, basi watoto wanakuwa wa muoaji( huu ni uthibitisho kuwa hatuna wivu)

5. Filigisi ya kuku anapewa baba mwenye mji asipokuwepo ankula first born wa kiume.

6. Wakati wa msosi watoto wa kiume wanakaa na baba na wakike na mama zao.

7. Mtoto wa kiume anachkua nafasi ya baba kwahiyo heshima inatakiwa kuzingatiwa bila kujali umri. (Mvulana wa miaka 8 anaweza kutembeza kichapo kwa dada zake bila pingamizi pale wanapokosea

8. Wakati wa harusi upande wa bwana harusi lazima wapigane mileka na upande wa bibi harusi. Waoaji wakishindwa binti hatoki.

Fainali iko pale bwana harusi anapotaka kula tunda, hapa mieleka lazima chumbani. Ole wako ushindwe nguvu na binti Hupati kitu.

Baada ya siku kadha binti hufunga safari kwenda Kwao kusalimia, hapo anarudisha taarifa kama wewe ni kidume ama mla urojo

Zingine wataongezea
 
Na vipi kuhusu kuoa binamu mtoto wa shangazi na mjomba?
 
Jambo la kwanza kabisa hakuna mkurya shoga, sasa pata picha kabila ambalo halina mashoga ni kabila la aina gani halafu usinipe jibu? WEITO.
Unasemaa?,wapo kibao nimeshawi kuona mkurya na mjaluo mashoga,wacha kbs
 
Mtoa uzi naona hujapata vizuri ulichouliza.

Umeuliza mira na desturi watu wametaja tabia.

Zifuatazo ni baadhi ya Mira na desturi zetu:

1. Mkurya akizaa watoto wakike tu, wakiolewa lazima make wake na yeye aoe mwanamke mwenzake ka mkamwana wake.

2. Mtoto wa kike kama hajatairiwa haruhusiwi kufungua zizi la ng'ombe

3. Ukiamka tu kabla hujatoka, lazima uende kuwasalimia wazazi hata kama itakuwa saa nane za usiku

4. Mwanamke akiolewa na watoto, basi watoto wanakuwa wa muoaji( huu ni uthibitisho kuwa hatuna wivu)

5. Filigisi ya kuku anapewa baba mwenye mji asipokuwepo ankula first born wa kiume.

6. Wakati wa msosi watoto wa kiume wanakaa na baba na wakike na mama zao.

7. Mtoto wa kiume anachkua nafasi ya baba kwahiyo heshima inatakiwa kuzingatiwa bila kujali umri. (Mvulana wa miaka 8 anaweza kutembeza kichapo kwa dada zake bila pingamizi pale wanapokosea

8. Wakati wa harusi upande wa bwana harusi lazima wapigane mileka na upande wa bibi harusi. Waoaji wakishindwa binti hatoki.

Fainali iko pale bwana harusi anapotaka kula tunda, hapa mieleka lazima chumbani. Ole wako ushindwe nguvu na binti Hupati kitu.

Baada ya siku kadha binti hufunga safari kwenda Kwao kusalimia, hapo anarudisha taarifa kama wewe ni kidume ama mla urojo

Zingine wataongezea
Hio no 8 kiboko,kwahiyo mpaka chakula cha usiku lzm ukipambanie!
 
Mk
Jambo la kwanza kabisa hakuna mkurya shoga, sasa pata picha kabila ambalo halina mashoga ni kabila la aina gani halafu usinipe jibu? WEITO.

Mkurya akifanya hivyo basi shingo yake ni halali ya panga au shoka kabisaaa.

Na akisema.ni mkurya na anafanya hivyo basi siku zake.mtu huyo zinahesabika kabisa, maana anakuwa amechafua jamii nzima.

Ushoga na Ukurya ni sawa na mbingu na nchi havitakaa vigusane kamwe.
 
Tarime unaweza kukuta nyumba nzuri,lakini choo ndani hakuna ,ati wanasema kuweka choo ndani ni uwoga,unatakiwa utoke nje usiku ukapambane na adui yako.sasa sjui unapambanaje na adui wakati umebanwa na tumbo la kuhara
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hatari sana hii
 
Wanajukwaa amani kwenu.

Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kufahamu maisha halisi ya kabila la Wakurya, mila na desturi zao. Bila shaka Wakurya wapo humu na ningependa kujifunza namna walivyo kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Karibu tuelimishane.
Fulaniherdsman.jpg
 
Dada zetu Ni wavumilivu sana hata kama Ni wa mjini. Maisha yakiwa magumu mtauza wote hata gongo. (Kabila jingine ashakukimbia hapo)
But wana ujeuri wa asili that's why lazima wale vitasa kidogo ndio nyumba iwe na heshima so wanaume wa kabila zingine angalieni usije kilegevu KUOA tarime itakucost kideadly.
Ila wakaka sisi tukipenda tunapenda but ukizingua jua panga shoka Ni halali yako.
Ntakugecha muraaa
 
1.Binti akiolewa akiwa bikra muoaji hupeleka ng'ombe mmoja kwao binti km shukrani.
2.Mwanamke ambae hajazaa na ana mali anaruhusiwa kuoa na watoto watakaozaliwa watakuwa mali yake halali
3.Mwanamke aliyeolewa ukuryani ni sharti akeketwe hata km kwa wakati huo atakuwa na watoto
4.Kumrithi mjane wa kaka yako ni ruksa
5.Mwanamke harusiwi kumiliki mali ikiwa familia ina wanaume
6.Mtoto wa kike hapewi chochote kwenye urithi
 
Ukioa kama ukienda kutembea ukweni na mkeo kama hana kovu la Je raha ulilomsababishia unarudishiwa mahari yako
 
Back
Top Bottom