Rhobi1961
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 888
- 682
Mwanamke haruhusiwi kurithi mali za baba/nyumbani kwao
Kipigo/kupigana ni sehemu ya maisha yao hao jamaa.
Wakioana zile siku za mwanzo mwanzo mwanaume haruhusiwi jua lizame yupo bado nje kwa maana ya matembezi.
Maeneo ya huko butiama mtoto wa mjomba anaruhusiwa kuolewa/kuoa mtoto wa shangazi.
Wanaume wa huko wana mapenzi ya kweli ila ukimzingua shingo ni halali yake.
Lazima baba wa mji awe na silaha yake pembeni ya kitanda au chini ya godoro.
Wanapenda sana mavi furani mepesi yanaitwa kichuri hapo humwambii kitu.
Wanaume ni wapiganaji sana wanatafuta hela.
Kama familia yake imelala na kushinda njaa hawezi akaja kwako akala kabla ya familia yake haijala.
Ni watu ambao hawabembelezi wenye mali wenyewe wanasema kama unazo ni zako hata yeye atafuta(maskini jeuri) nk