Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Kwa jinsi wanavyo piga wake zao, eti wakati wa kutongoza wanabeba visu, mapanga, nyundo ukiwa wakataa wanakumaliza hapo hapo

Hii umesimuliwa nawe kwa usivyoweza kutafuna ukalimeza, hivi kama ingekuwa kweli si magereza yangejaa wakurya waliohukumiwa kwa mauaji au wao kila wakitongoza wanakubaliwa tu? hii si kweli mkuu
 
Wakurya kabla hujakaa nao karibu utasikia maneno mengi sana ya ajabu kuhusu wao. Ila mimi nilifanikiwa kuwajua japo si sana na wakanifanya niwapende mpaka leo. ila wakurya wengine ni hasara kabisa.
 
Nawachukia watz, hadi mwenyewe.

Mbona kuna makabila ya wala watu hayasemwi? Wengine humu ndo wanaongoza kwa ujambazi lakini wanayaona ya wakurya tu
 
mila ipo ila kwa namna ya tofauti, kuwa yule aliyeolewa anatafuta mpenzi yeyote tu anapewa ujauzito halafu mmiliki wa watoto anakuwa mama mwoaji
Mila ya mwanamme kuoa mwanamme mwenzake ndo nimesema hawana
 
Alifanyaje?
kwa jina maarufu aliitwa MWITA WABHAKIRA (alitokea koo ya Wakira katika kabila la Wakurya yaani koo moja na JOHN HECHE, mbunge wa wilaya ya Tarime vijijini, alikuwa mkuu wa komandi mojawapo kwenye VITA YA UGANDA, ngoja nitapost mada inayomhusu kwenye INTELLIGENCE FORUM.
 
Nawachukia watz, hadi mwenyewe.

Mbona kuna makabila ya wala watu hayasemwi? Wengine humu ndo wanaongoza kwa ujambazi lakini wanayaona ya wakurya tu
Mada iliyopo mezani ni mila na desturi za wakurya kama una lako jambo hukatazwi kuanzisha uzi na kuzungumzia kabila jingine
 
Kama unajua changia sio kuja kutoa povu baada ya kuichunia mada. Ni mboga ndio kwa ugali wa mtama au udaga. Wewe unataka kusema ni kinywaji hicho?
Kichuri ni mboga?, hebu uliizeni mengine c kujifanya wajuvi hata kwa mnayoyasikia.
 
Sio kwa wote hasa wanawake hawana haki ya kusikilizwa anatandikwa kwanza ndio mwishon anaaambiwa kosa lake. Mfano mzuri mwanamke aliyechapwa juzi huko musoma.
Kama una ng'ombe tatu huchapwi
 
Hivi kama mwanamke anazaa nje na bado ukamkubali mtoto anaezaliwa kuwa niwako hapo wivu uko wapi?

Wivu mnaujua ama mnaongea tu. Binafsi wivu sina ila roho huwa inauma
Kimila tunaamini aliyetoa mahali(ng'ombe) ndio mmiliki wa hao watoto hata kama walizaliwa nje ya ndoa.
Hayo mengine achana nayo.
 
Mada iliyopo mezani ni mila na desturi za wakurya kama una lako jambo hukatazwi kuanzisha uzi na kuzungumzia kabila jingine
Nasikia kabila lenu ni maarufu kwa kujambajamba sana.
 
Ni kabila zima na pia naona hata kwa Waruri, Wajita, Wakwaya, Wahacha,Wasweta,Wasurwa, Wasimbiti n.k pia hufanya hivyo na nami nawaunga mkono kwa kuwa ni jambo jema.
Acha kudanganya watu jinga we, kama kitu hukijui kaa kimya. Mjita na Mkwaya tangu lini akawa jamii ya Kikurya? Au kwa kuwa unawaona wapo mkoa wa Mara? Haka karisya ni ka khangii[emoji35] [emoji35]
 
Kama unajua changia sio kuja kutoa povu baada ya kuichunia mada. Ni mboga ndio kwa ugali wa mtama au udaga. Wewe unataka kusema ni kinywaji hicho?

Kwenu mama yako amewahi kutenga ugali na kichuri kwenye meza?. Kichuri haijawahi kuwa mboga mwambie aliyekusimulia akwambie vzr ile ni mchuzi unaotumiwa na jamii ya wakurya na waluo tena unatumiwa wakati mboga kuu ikiwa ni nyama ama ya ng'ombe, mbuzi au kondoo. Huwezi kula kichuri kama hakuna nyama haijawahi kutokea maana hata kichuri chenyewe hupatikana kwenye utumbo wa mnyama. Kijana mboga ni kitu kinachoweza kutengwa mezani na ikatumika hata kama hakuna supporter ya mboga nyingine e.g samaki, nyama, dagaa, mchicha nk, mfano mchuzi siyo mboga, maji siyo mboga wala kichuri siyo mboga. Jifunze mila za watu vzr.
 
Back
Top Bottom