chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,439
- 1,738
Mtoa uzi naona hujapata vizuri ulichouliza.
Umeuliza mira na desturi watu wametaja tabia.
Zifuatazo ni baadhi ya Mira na desturi zetu:
1. Mkurya akizaa watoto wakike tu, wakiolewa lazima make wake na yeye aoe mwanamke mwenzake ka mkamwana wake.
2. Mtoto wa kike kama hajatairiwa haruhusiwi kufungua zizi la ng'ombe
3. Ukiamka tu kabla hujatoka, lazima uende kuwasalimia wazazi hata kama itakuwa saa nane za usiku
4. Mwanamke akiolewa na watoto, basi watoto wanakuwa wa muoaji( huu ni uthibitisho kuwa hatuna wivu)
5. Filigisi ya kuku anapewa baba mwenye mji asipokuwepo ankula first born wa kiume.
6. Wakati wa msosi watoto wa kiume wanakaa na baba na wakike na mama zao.
7. Mtoto wa kiume anachkua nafasi ya baba kwahiyo heshima inatakiwa kuzingatiwa bila kujali umri. (Mvulana wa miaka 8 anaweza kutembeza kichapo kwa dada zake bila pingamizi pale wanapokosea
8. Wakati wa harusi upande wa bwana harusi lazima wapigane mileka na upande wa bibi harusi. Waoaji wakishindwa binti hatoki.
Fainali iko pale bwana harusi anapotaka kula tunda, hapa mieleka lazima chumbani. Ole wako ushindwe nguvu na binti Hupati kitu.
Baada ya siku kadha binti hufunga safari kwenda Kwao kusalimia, hapo anarudisha taarifa kama wewe ni kidume ama mla urojo
Zingine wataongezea