Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
vipi na hawa akina BACHUTA? wa wapi hawa jamaaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mburula wewe ambaye umechukia kwa sifa za kabila lako! Raisi kuwa ------, haimaanishi kabila lake lina sifa nzuri! Wakwere ni kama wazaramo, wao ngoma, kahawa na bado ndo shughuli zao. Uvivu umewajaa mbaya!acheni umburula ww hizo takwimu umeokotea wapi au ulikosa cha kufanya, then take care kwani presider ni kabila gani.... W vp?
Waha ni wachapa kazi kuliko wote wakifuatiwa na Wasukuma.
Wakurya wote hasa wanawake pia na wanaume ni wa uhakika,,,,