Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Mtoa mada sijui alifikiri nini,wanyamwezi ni wafanyakazi?sina hakika kwaio sitii neno,ila wamaasai ni wataftaji,wameru wanapiga mzigo kuliko,wanaoishi ngarenanyuki ni balaa kazi ya shamba inaanza saa tisa usiku hadi saa kumi jioni,.....
 
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;

1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya,Wahehe

2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita, Wachagga (wazee wa bastola)

3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.

4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba

5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi, Wahehe

6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe), Waha na Wasukuma

Ongeza yako unayoyafaham.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

BIASHARA:
Wachagga, Wanyakyusa, Wakinga.

KUUA MAALBINO NA VIKONGWE:
Wasukuma.
 
Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Hivi wanakula nini?
 
Magnificent
Wajita siyo tu kuwa wengi Ni walimu, Bali pia Ni wanasheria wengi. Kuhusu kujiamini kimtazamo yaweza kuwa hivyo lakini wanakuwa stereotyped eti wanapenda misifa sana japo hawawafikii wale kina bhojoooooooo

Wajita wapo kwenye sector nyingi ambazo wanaweza wasiwe visible sana. C watu wa ukabila nadhan hii imewafanya wasiwe wanasikika huko waliko.
Mjita anaweza kukujua we ni wa kwao ila asikujali.

Kuhusu kusoma walisoma miaka mingi hawa tena kwa wingi, ila walikuwa hawaend mbali wanarudi kuwa teachers, historia inaonesha shule za zaman sana zipo ujitani pia
 
Salute.
 
hamna lolote
 
Wajita wengi ni Polisi wanapenda sifa sana Pia kuna Wachache ni Wanajeshi na mahakimu kazi Yao kubwa pale Musoma ni Uvuvi na biashara ndogo ndogo kilimo hawakiwezi wananunua Mazao toka kwa Wakurya ambao ni wakulima wazuri japo ni Wakorofi sana lakini Nao Pia ni Wasomi huku wengi wakiwa ni wanajeshi kuliko polisi wajita a.k.a wakerewe Pia wengi ni washirikina sana hususani huko visiwani Ukara ,Nansio ,majita nk
 
Makabila Haya ni hatari kwa Ushirikina 1-waha 2-wafipa 3-wamakonde 4-wagarabaigi 5-wakerewe 6-wakwele 7- wasambaa 8-wakinga 9- wangoni 10- wanyaturu makabila mengine wanacopy toka kwa hao lakini kuna wanasai wanafurukuta Pia wabena wahehe wazaramu Nao hawavumi lakini wamo
 
Makabila wasomi sana Ni wahaya wachaga wapare lakini wahaya licha ya usomi wana ukabila sana na Maringo a.k.a dharau huku Wachaga wakiwa mafisadi na wengine wafanyabiashara wazuri ktk biashara tz wachaga hawana mpinzani wapo mbali kiujumla
 
Back
Top Bottom