Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katerero
Katika jamii ya Tanzania, kuna makabila karibu 150. Makabila yafuatayo yanasemwa kuwa na sifa kama hivi;
1. MAKABILA YA WASOMI
Wachaga, wapare, wanyakyusa, wahaya,Wahehe
2. MAKABILA YENYE HASIRA
Wahehe (kujinyonga), Wakurya (kuua), Wajita, Wachagga (wazee wa bastola)
3. MAKABILA YA WAVIVU
Makabila yote mikoa ya pwani; wazaramo, wakwere, wapogoro, wazigua, wasambaa etc.
4. OMBA OMBA
Hapa wagogo wameshika namba
5. WAFANYAKAZI (wachapa kazi)
Wasukuma, Wasafwa, Wabena, wanyamwezi, Wahehe
6. UCHAWI na USHIRIKINA
Wafipa (Sumbawanga), Wakinga (Iringa/Njombe), Waha na Wasukuma
Ongeza yako unayoyafaham.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakorofi: WAHAYA jamani
Mwambojoke, hembu angalia wazaramo...wanafanya kazi gani zaidi ya bao, kahawa (gahwa) na ngoma (mdundiko)? Huo ni mfano hai, na nafkiri liko wazi hilo!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kaka wanyamwezi ni kama watu wa pwani,hawachapi kazi hata kidogo!
Magnificent
Wajita siyo tu kuwa wengi Ni walimu, Bali pia Ni wanasheria wengi. Kuhusu kujiamini kimtazamo yaweza kuwa hivyo lakini wanakuwa stereotyped eti wanapenda misifa sana japo hawawafikii wale kina bhojoooooooo
Na kabila gani inapenda kuacha wake zao vijijini na wao wako mjini tena kimara wapo kwa wingi,
na escudo zao usiwasahau
Wajita wapo kwenye sector nyingi ambazo wanaweza wasiwe visible sana. C watu wa ukabila nadhan hii imewafanya wasiwe wanasikika huko waliko.
Mjita anaweza kukujua we ni wa kwao ila asikujali.
Kuhusu kusoma walisoma miaka mingi hawa tena kwa wingi, ila walikuwa hawaend mbali wanarudi kuwa teachers, historia inaonesha shule za zaman sana zipo ujitani pia
hamna loloteWajita wapo kwenye sector nyingi ambazo wanaweza wasiwe visible sana. C watu wa ukabila nadhan hii imewafanya wasiwe wanasikika huko waliko.
Mjita anaweza kukujua we ni wa kwao ila asikujali.
Kuhusu kusoma walisoma miaka mingi hawa tena kwa wingi, ila walikuwa hawaend mbali wanarudi kuwa teachers, historia inaonesha shule za zaman sana zipo ujitani pia
Sisi wagagagigikoko mbona hamjatupa sifa zetu
hamna lolote
Wajita wengi ni Polisi wanapenda sifa sana Pia kuna Wachache ni Wanajeshi na mahakimu kazi Yao kubwa pale Musoma ni Uvuvi na biashara ndogo ndogo kilimo hawakiwezi wananunua Mazao toka kwa Wakurya ambao ni wakulima wazuri japo ni Wakorofi sana lakini Nao Pia ni Wasomi huku wengi wakiwa ni wanajeshi kuliko polisi wajita a.k.a wakerewe Pia wengi ni washirikina sana hususani huko visiwani Ukara ,Nansio ,majita nkWajita wapo kwenye sector nyingi ambazo wanaweza wasiwe visible sana. C watu wa ukabila nadhan hii imewafanya wasiwe wanasikika huko waliko.
Mjita anaweza kukujua we ni wa kwao ila asikujali.
Kuhusu kusoma walisoma miaka mingi hawa tena kwa wingi, ila walikuwa hawaend mbali wanarudi kuwa teachers, historia inaonesha shule za zaman sana zipo ujitani pia
je warangi, mimi ni mrangi
Hivi wanakula nini?