Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Naluhokwe ndio kabila gani mkuu?
 
Mbona karibu wote ni Wazaramo na Wamakonde
 
TID si ni mzenji au! hata kwenye ngoma yake ya "mahaba ya dhati"....anasema njoo nikupe mahaba ya kwetu Pembaa...

Na nani kakwambia kuwa Jux ni mmakonde?
 
1. Khadija Omar Kopa (khadija kopa) = Mzenji
2. Mzee Yussuf = Mzenji
3. Khadija Yussuf = Mzenji
4. Hammer Q = Mzenji
5. Ali Toli (AT) = Mzenji
6. Lil geto wa akhenato record = Mzenji
7. Nedy Music = Mzenji
8. Khalid Mohd (TID) = Mzenji
9. Issa Matona (marhum) = Mzenji
10. Omar Kopa (marhum) = Mzenji
11. Salama Jabir = Mzenji
12. Meena Ally wa clouds = Mzenji
13. Sharifa (comedian anayeishi USA) = Mzenji
14.Lamar (producer wa fish crab) = Mzenji
15. Kaliser (model) = Mzenji, japo kaloweya sana temeke kwa aziz ali.
16. Zungu (dancer wa diamond) = Mzenji
17. Feisal (fey) toto = Mzenji
18. Riyama Ally = Mzenji ila kaloweya sana dar
19. Nisha Jabu (bongomovie) = Mzenji ila kaloweya sana dar
20. Khadija Mnoga (kimobitel) = Mzenji ila kwao sidhani kama atarudi tn.
21. Jamila (baby J) = Mzenji
22. Sultan King = Mzenji

nikiwakumbuka wengine nitawalist...

 
TID si ni mzenji au! hata kwenye ngoma yake ya "mahaba ya dhati"....anasema njoo nikupe mahaba ya kwetu Pembaa...

Na nani kakwambia kuwa Jux ni mmakonde?
Nend Wikipedia, set Kiswahili then type "Juma jux "
 
Hapo kwa TID unatudanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nilikuwa najuaga Riyama Ally ni mdigo wa Tanga KUMBE mzenji?

Anyways TID NI Mmakonde . Mama.ake.ndio Mngazija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…