Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

1)Nandy mchaga wapele majengo kiboroloni Kb kabsaaa

2) bill nass huyu mchaga kule marangu mwika mita hiyoo ka sikosei ana broh wake anai twa amani lyimoo anapenda kumrusha sanaa utasiki "amani lyimooo what's upppppp.....!!"

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Bill nenga sawa. Kw Nandy umepotoka dogo. Akina Mfinanga ni wapare.
 
venine,
Duh kweli utoto tabu. Mimi nilikua naona aibu kujulikana mhaya sababu nilikua eti naona aibu sababu mostly sisi ni weusi naona nitachekwa. Ah nikikumbuka nacheka sana hahaha. Upumbavu ni mzigo 😃
 
Anita Ngombale - Mwiru
Presenter kipindi kinaitwa the trend
Chemical wa Kilwa so anaweza kua mmatumbi
Alaf Mbonde lipo makabila mawili matumbi na ndengereko
Mwiru si wanatokea kipate huko...Wayao hawa?
 
Kabla ya kupata PESA/utoton hvi ndivyo MASTAA wa BONGO walivyokua (before and after Tanzanian stars)
Here Check the Link below to view this amazing video 🙂
CLICK HERE👈
ojkjlk,.PNG
 
Sheta -mngoni
Gelly wa rhymes-mngoni
Godzilla (r.i.p)-mngoni
Izo b-nyakyusa
Gigy-nyakyusa
Lulu diva-mpare
Marioo-mndengereko
Alikiba-manyema
Diamond-manyema
Mboso-mndengereko
Ruby-wa tanga(Sasa sijui kabila gani)
Nandy-mchaga
Maua sama-mchaga
Linasanga-m'bena

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kuhusu yule Joket wa kisarawe?
 
Wajita, wazanaki, wakabwa, wajaluo, wahaya, wakerewe, na wasukuma, haya makabila ni hatari kwa kushusha mistari ya verses.
 
Jux mmakonde wa wapi?
Umeshasema Mmakonde halafu unauliza wa wapi?! Wamakonde wanatokea Mtwara... lau kama Jux (Juma) angekuwa ni Jux (Justine) ningesema itakuwa anatokea Msumbiji.

Ni nadra sana Wamakonde wa Mtwara kuwa akina John! Kwa maana nyingine, hata yule George Mkuchika unaweza kukuta ni kizazi cha akina Eduardo Mondlane, unless kama sio Mmakonde kwa sababu Mtwara makabila yapo zaidi ya moja!

Of course, hata Lindi wapo Wamakonde lakini si kwa kiasi kikubwa, na wengi wao wana asili ya Mtwara.
 
Vipi kuhusu yule Joket wa kisarawe?
Kwa kuangalia kakake Constantine basi atakuwa mtu wa Ruvuma ingawaje sina uhakika kama ni ndugu wa baba mmoja manake Constantine tulikuwa tunamuita Magavilla wakati Jokate ni Mwegelo... basi taabu tupu!!!
 
Mngoni huyu
 
Unaandika kitu then unajikana.. wamakonde hata lindi wapo pia tunduru ruvuma.
 
Jokate ni mmatengo wa ruvuma
 
Unaandika kitu then unajikana.. wamakonde hata lindi wapo pia tunduru ruvuma.
Nimekikana nini wakati nimesema waliopo Lindi ni wahamiaji lakini sio asili yao?!

Unaweza kutaja Wamakonde Lindi wanapatikana wilaya gani?! Tunduru ni Wayao na Wamakua, na sio Wamakonde!

Lindi makabila yake ni Wamwera (Wilaya za Lindi, Ruangwa na Nachingwea), Wamatumbi (Kilwa), na Wangindo (Liwale). Mtwara ndo kuna Wamakonde (Wilaya za Mtwara, Newala na Tandahimba), Wayao na Wamakua (Masasi na Nanyumbu)

Hawa Wayao na Wamakuwa wa Masasi na Nanyumbu ndiyo wameenea hadi Tunduru!
 
> Mr T Touch
> Jokate mwegelo
> Grace mapunda
> Rose ndauka
> foby
WANGONI
 
Back
Top Bottom