Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Kama ni mmakonde basi kachukua kabila la mama yake ila marehemu baba yake ni mkwele pia babu yake ana undugu na kikwete ambaye nae ni mkwele
Its ouk yawezekana km ndio hivyo.
 
Senga-Mpandunji
Kitale-mkandusi
Daz-mkambwenda
Justin bieber- mmakonde
enock bella-mndivata(
osama bin laden-mmakonde
billnass-mtirivya
jux-mtandavala
dybala-mkantulukutu
Chama(trippleC)-Munnyitu
Juma nature-kantubwachi
 
Mbilinyi ni Wakinga ila wengi wapo Songea na Mbeya kibiashara tu, Ila Mama yake Sugu alikua Chinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale Mtwara walikua na nyumba yao enzi hizo, nafikiri mtaa wa Kiyangu. Miaka ile ya 1993-1996 Mh Sugu alikua anatembelea sana Mtwara. Niliwahi kusikia kua aliwahi kusoma shule ya Sekondari kule Mtwara nadhani Sabasaba Day Sec, ingawa sina uhakika kama ni kweli au la.
 
Upo sahihi amesoma primary na Secondary kidogo hapo Mtwara,ana dada hapo Kiyangu anaitwa Jack nadhani alikua anafanya kazi ATCL

Back
Top Bottom