Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kwa Bill nenga sawa. Kw Nandy umepotoka dogo. Akina Mfinanga ni wapare.1)Nandy mchaga wapele majengo kiboroloni Kb kabsaaa
2) bill nass huyu mchaga kule marangu mwika mita hiyoo ka sikosei ana broh wake anai twa amani lyimoo anapenda kumrusha sanaa utasiki "amani lyimooo what's upppppp.....!!"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwiru si wanatokea kipate huko...Wayao hawa?Anita Ngombale - Mwiru
Presenter kipindi kinaitwa the trend
Chemical wa Kilwa so anaweza kua mmatumbi
Alaf Mbonde lipo makabila mawili matumbi na ndengereko
barnaba ni kwel mchaga Wa rombo .tulia dawa iingieBarnaba ni kabila gani?
Vipi kuhusu yule Joket wa kisarawe?Sheta -mngoni
Gelly wa rhymes-mngoni
Godzilla (r.i.p)-mngoni
Izo b-nyakyusa
Gigy-nyakyusa
Lulu diva-mpare
Marioo-mndengereko
Alikiba-manyema
Diamond-manyema
Mboso-mndengereko
Ruby-wa tanga(Sasa sijui kabila gani)
Nandy-mchaga
Maua sama-mchaga
Linasanga-m'bena
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema Mmakonde halafu unauliza wa wapi?! Wamakonde wanatokea Mtwara... lau kama Jux (Juma) angekuwa ni Jux (Justine) ningesema itakuwa anatokea Msumbiji.Jux mmakonde wa wapi?
Kwa kuangalia kakake Constantine basi atakuwa mtu wa Ruvuma ingawaje sina uhakika kama ni ndugu wa baba mmoja manake Constantine tulikuwa tunamuita Magavilla wakati Jokate ni Mwegelo... basi taabu tupu!!!Vipi kuhusu yule Joket wa kisarawe?
Mngoni huyuKwa kuangalia kakake Constantine basi atakuwa mtu wa Ruvuma ingawaje sina uhakika kama ni ndugu wa baba mmoja manake Constantine tulikuwa tunamuita Magavilla wakati Jokate ni Mwegelo... basi taabu tupu!!!
Unaandika kitu then unajikana.. wamakonde hata lindi wapo pia tunduru ruvuma.Umeshasema Mmakonde halafu unauliza wa wapi?! Wamakonde wanatokea Mtwara... lau kama Jux (Juma) angekuwa ni Jux (Justine) ningesema itakuwa anatokea Msumbiji.
Ni nadra sana Wamakonde wa Mtwara kuwa akina John! Kwa maana nyingine, hata yule George Mkuchika unaweza kukuta ni kizazi cha akina Eduardo Mondlane, unless kama sio Mmakonde kwa sababu Mtwara makabila yapo zaidi ya moja!
Of course, hata Lindi wapo Wamakonde lakini si kwa kiasi kikubwa, na wengi wao wana asili ya Mtwara.
Jokate ni mmatengo wa ruvumaKwa kuangalia kakake Constantine basi atakuwa mtu wa Ruvuma ingawaje sina uhakika kama ni ndugu wa baba mmoja manake Constantine tulikuwa tunamuita Magavilla wakati Jokate ni Mwegelo... basi taabu tupu!!!
Nimekikana nini wakati nimesema waliopo Lindi ni wahamiaji lakini sio asili yao?!Unaandika kitu then unajikana.. wamakonde hata lindi wapo pia tunduru ruvuma.
Jux ni MmakondeNa jux je??
Vanessa mdee- mpare
Mh temba - mchaga
Mabeste -;mchaga
Haika - mchaga
Nareel - sijui
Mr nice - mchaga
Snura - mchaga
Barnaba classic - mchaga
Barak de prince - mjaluo
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka Da Prince ni Mjaluo[emoji23]Na jux je??
Vanessa mdee- mpare
Mh temba - mchaga
Mabeste -;mchaga
Haika - mchaga
Nareel - sijui
Mr nice - mchaga
Snura - mchaga
Barnaba classic - mchaga
Barak de prince - mjaluo
Sent using Jamii Forums mobile app