Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

#Diamond na Ali Kiba: Almost every body know about them

1. Sugu ( Joseph Mbilinyi)... Mkinga.

2. Professor Jay (Joseph Haule ).Mngoni.

3. Lady Jay Dee ( Judith Wambura Mbibo) ....Mkurya.

4. Inspector Haroun.... Msukuma/ Mzaramo ( Baba ake na Haruna marehemu Mzee Rashid Juma Kahena alilowea uzaramuni " Kisarawe vijijini" miaka ya sitini, akaoa Mzaramo ( mama Zena/ mama ake Haruna) then baadae akahamia Kisarawe mjini then Temeke. Kwa miaka yote aliyo kaa uzaramuni Mzee huyu alijikuta akiwa ame integrate kwenye uzaramuni.

5. Luteni Kalama ( Kalama Bakar) ...Mzaramo.

6. Juma Nature ( Juma Kassim Kiroboto) ... Mzaramo/ Mngindo.

7. Solo Thang ( Msafiri Kondo) ..Mzaramo.

8. Tid ( Khalid Mohamed )... Mmakonde ( but anadai ana asili ya ungazija )

9. Jay Moe ( Juma Mohamed Mchopanga)....Mmakonde.

10. Mr. Blue ( Heri Sameer ).. mama Mzaramo wa Mlandizi Baba Msudani.

11. Chid Beenz ( Rashid Abdallah Makwiro)....Baba MTU wa Tanga( probably Mzigua au Mdig) mama MTU wa Iringa probably mhehe.
12.Lord Eyes ....... Baba Mjita mama mchaga.

13. Jcb ( Jacob Makala)...Msukuma.

14. Wema Sepetu...Mama.mtu wa Singida Baba Mnyamwezi.

15. Hamisa Mobeto...Mnyamwezi.

16. Swebe ...Mnyamwezi.

17. Dyna Nyange....@mrangi.

18. Jux ... Mmakonde.
19. nakuendelea. Tiririka na wewe
Kasimu Mganga: MZIGUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waluguru sasa hawa hapa: Rich Mavoko, Kitale, Stan Bakora, Babu Tale, Afande Sele, Soggy Dog Hunter, Stamina, Kichuya, Muhogo Mchungu, Mussa Banzi, Jenifa wa Kanumba, dahh...na wengine wengi, Mkwele orinal-mkwele wa Ngerengere
 
waluguru sasa hawa hapa: rich mavoko, kiatale, stan bakora, babu tale, afande sele, sogg dog hunter, stamnia ,kichuya, muhogo mchungu, mussa banzi, jenifa wa kanumba, dahh...na wengine wengi, mkwele orinal-mkwele wa ngerengere
Soggy Doggy ni muhaya
 
Jila halisi la Soggy Dog ni Anselim Ngaiza(jina la kihaya 100%) ila pia aAfande Sele baba yake ni mzee wa Ngara Kagera
 
Diamond Hamumjui au mmemsahau
Dokii- mjita kotekote kwa baba na Mama aliishi Musoma Kamunyonyonge kasoma musoma alizaliwa Kendu bay Kenya

Maringo- Musoma Kamunyonge!

JIrambwene- Mugango-kwibara

Diamond- kigoma baba mruri
 
Kabila la mtu ni kule alipozaliwa sio kule wazazi wake walipozaliwa.

Huwezi kusema mtu ni mchaga wakati kazaliwa uzaramoni, huyo ni mzaramo tu hata kama wazazi wake walizaliwa uchagani.

Free thinker. [emoji125] [emoji125]
Acha kuongopa.Kabila la mtu linatokana na asili ya huyo mtu husika,ndiyo maana tuna native Americans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waluguru sasa hawa hapa: rich mavoko, kiatale, stan bakora, babu tale, afande sele, sogg dog hunter, stamnia ,kichuya, muhogo mchungu, mussa banzi, jenifa wa kanumba, dahh...na wengine wengi, mkwele orinal-mkwele wa ngerengere
Soggy kwenye wimbo wake wa Kibanda cha simu kajitanabaisha yeye ni Mhaya/Muhaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom