Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

Kasimu Mganga: MZIGUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waluguru sasa hawa hapa: Rich Mavoko, Kitale, Stan Bakora, Babu Tale, Afande Sele, Soggy Dog Hunter, Stamina, Kichuya, Muhogo Mchungu, Mussa Banzi, Jenifa wa Kanumba, dahh...na wengine wengi, Mkwele orinal-mkwele wa Ngerengere
 
waluguru sasa hawa hapa: rich mavoko, kiatale, stan bakora, babu tale, afande sele, sogg dog hunter, stamnia ,kichuya, muhogo mchungu, mussa banzi, jenifa wa kanumba, dahh...na wengine wengi, mkwele orinal-mkwele wa ngerengere
Soggy Doggy ni muhaya
 
Jila halisi la Soggy Dog ni Anselim Ngaiza(jina la kihaya 100%) ila pia aAfande Sele baba yake ni mzee wa Ngara Kagera
 
Diamond Hamumjui au mmemsahau
Dokii- mjita kotekote kwa baba na Mama aliishi Musoma Kamunyonyonge kasoma musoma alizaliwa Kendu bay Kenya

Maringo- Musoma Kamunyonge!

JIrambwene- Mugango-kwibara

Diamond- kigoma baba mruri
 
Kabila la mtu ni kule alipozaliwa sio kule wazazi wake walipozaliwa.

Huwezi kusema mtu ni mchaga wakati kazaliwa uzaramoni, huyo ni mzaramo tu hata kama wazazi wake walizaliwa uchagani.

Free thinker. [emoji125] [emoji125]
Acha kuongopa.Kabila la mtu linatokana na asili ya huyo mtu husika,ndiyo maana tuna native Americans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
waluguru sasa hawa hapa: rich mavoko, kiatale, stan bakora, babu tale, afande sele, sogg dog hunter, stamnia ,kichuya, muhogo mchungu, mussa banzi, jenifa wa kanumba, dahh...na wengine wengi, mkwele orinal-mkwele wa ngerengere
Soggy kwenye wimbo wake wa Kibanda cha simu kajitanabaisha yeye ni Mhaya/Muhaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…