Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

Kipimo chako cha maendeleo ya sehemu husika ni kipi?
 
Binafsi napenda waliokeketwaaa mazee.. Watamu hataree
1000266261.jpg
 
Huu ni utamaduni wa makabila sio dini, kuna waislam na wakristo wanaofanya hizi mambo
Ukiwa wanafanya makafiri ni tamaduni za wote na wakifanya waislamu ni dini yao na hawajasoma?

Haya niambie mkoa gani na kabila Gani lenye asili ya waislamu wanakatana vinembe?

Acha ngonjera

Tatizo unadhani FGM ni Tanzania tu.

Somalia ni moja ya nchi zinaongoza kwa FGM duniani, sidhani kama kuna Wakristo wengi namna hiyo huko.

FGM ni tabia ipo sana kwenye makabila ya wafugaji sana sana, ndio maana nikakwambia ushahidi unasema sio issue ya dini.
 
Back
Top Bottom