NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Wachawiwakuu ivi wanyamwezi wao wapo na sifa zipi?
alooo nao kumbe ni hatari! me navosikiaga mtu mjanja anaitwa mnyamwez nikajua ni watu pow sana.Wa
Wachawi
Maharage ya mbeya
Wanoko
Kukuua ni dakika sifuri
Wanawake wanna sura zuri
wanaitwa Wapimbwe..Makabila mabinafsi mngoni, mbena, mkinga, mmatengo......kuna kabila moja hvi lipo katavi asee nilienda kuomb kazi nikaambiwa hakuna punde simu ikaita kabila lenzake linaomba hyo job jamaa likanyishaua end then nakuta kapewa dah watu wa hy nchi hapana
Wasukuma hawana mpinzani. Wachaga kwenye uchoyo hawana mpinzani