Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi

WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa, ila hapa nigusie kidogo hawa ni wasukuma wa Shinyanga, Geita, vijiji Mwanza na maendo ya Tabora. Kuna wale wengine wa Simiyu wanaoitwa Wanyantunzu na wale wa Mpanda huwa wanavaa kama wamasai wapo tofauti.

WAHEHE / WABENA - Hawa ni kama ndugu wanafana vingi hadi lugha, Hata kaka awe tajiri hawana muda na mali zake, hawana muda na mali za mume wa dada wapo bize na mambo yao, pia ukiwa mgeni utapewa ushirikiano hata ukitaka ubunge.

WAKINGA - hasa wale waliotoka vijijini wamekuja kutafuta maisha mjini wapo peace sana ila muda mwingi kama sio maisha yao yote hushinda madukani na wanahitaji faida kidogo tu, shida huwa ipo kwa hawa wanaozaliwa mjini wapo tofauti kidogo.

WASAMBAA - Hawana noma kabisa, na uzuri mnazoeana haraka tu, hata ukiwa rafiki mliejuana siku chache unaweza kupigiwa pasi kwenye fursa bila kujali kabila.

Makabila Makubwa ambayo hayajasahaulika kwa bahati Mbaya

WAPARE - 4.8 stars sina haja ya kueleza sana

WAJALUO - 4.5 stars Hawa wadau kwenye ubinafsi hata huko Kenya wanajulikana.

WANYAKYUSA - 4.3 stars sehemu ikiwa na boss mnyakyusa utajua tu, kuna mambo ya kupeana pasi lakini kwa wanyakyusa imezidi.

WACHAGA - 4.2 Stars, hasa kwenye biashara, wanapenda faida kubwa kupitiliza ndio sababu pae kariakoo waliondoka wengi baada ya ushindani wa bei kuwa mkubwa
 
Wasukuma ni wacheshi mno watu wa utani na masikhara ila wana dharau kama msio msukuma mwenzao hawakuchukilii serious tena hasa ukiwa unaongea 😁 kiswahili Seran Mr Q
Wasukuma wapo poa labda ukutane na wale wanaovaa kama masai wanazunguka maporini wakuchunga ngombe, hao hadi leo wanaendelea na mila zilizopitwa na wakati kama chagulaga
 
Wasukuma wapo poa labda ukutane na wale wa Mpanda wanaoendelea mila za zamani kama chagulaga
Sana hilo sikatai ila ushawahi kwenda kwenye vijiji vya wasukuma mkuu, sehemu kama sengerema au geita vijijini huko kwa kiswahili hakiongelewi sana, alafu nenda kwenye mkutano wa kijiji jaribu kuchangia mada uone kama watakuchukulia serious
 
Makabila mabinafsi mngoni, mbena, mkinga, mmatengo......kuna kabila moja hvi lipo katavi asee nilienda kuomb kazi nikaambiwa hakuna punde simu ikaita kabila lenzake linaomba hyo job jamaa likanyishaua end then nakuta kapewa dah watu wa hy nchi hapana
 
Back
Top Bottom