Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,455
- 6,340
hatari
Uache uongo basiWasukuma hawana mpinzani. Wachaga kwenye uchoyo hawana mpinzani
Just imagine hawa watu hawawajui wasukuma? Hawa watu ni wapumbavu na wabinafsi na wana roho mbaya sana acheni kuwapa promo washenzi hawa wa kisukumaKwanza lazima ujue sio wote kwa hizi sifa mnazowapa.Nimekaa nao huu mwaka wa saba nawajua nje ndani.
Wasukuma ni wakarimu ndio lakini ni ukarimu wa kinafiki.Mara ya kwanza nimefika Buhindi(hiko wilaya ya Buchosa) wale watu mchana utawaona hawa ndio wenyewe sasa kuishi nao.Usiku ndio utawajua(wanatabia za hovyo yani msukuma mgeni kumjaribu na mambo ya ushirikina kwake ni kitu cha kawaida na atasema tu kwa wenzake).Huwezi kuniambia hawa ni watu wazuri.The same stories nimezisikia wakati nakaa Sengerema,Magogo-Geita,Kakola now Kahama(atleast Kahama ni town hizi mambo hazipo sana)
Wasukuma hata uwe mnyenyekevu vipi ni wabaguzi hatari(otherwise ujue kisumuka).Usipojua kisukuma usukumani maisha ni magumu.Lugha ngumu lakini wanalazimisha ujue.Kama ni wema kwanini unamteta mtu kwa sababu tu hajui lugha yako?
Kwahapa Tanzania,kabila pekee nimeisha nao wanaupendo wa kweli ni Wagogo.Mgogo hana maigizo,kama ni mwema ni mwema kweli na ikiwa tofauti haitaji kuigiza
Sahihi mgogo hana shida kabisa na sio wasbinafsiKwanza lazima ujue sio wote kwa hizi sifa mnazowapa.Nimekaa nao huu mwaka wa saba nawajua nje ndani.
Wasukuma ni wakarimu ndio lakini ni ukarimu wa kinafiki.Mara ya kwanza nimefika Buhindi(hiko wilaya ya Buchosa) wale watu mchana utawaona hawa ndio wenyewe sasa kuishi nao.Usiku ndio utawajua(wanatabia za hovyo yani msukuma mgeni kumjaribu na mambo ya ushirikina kwake ni kitu cha kawaida na atasema tu kwa wenzake).Huwezi kuniambia hawa ni watu wazuri.The same stories nimezisikia wakati nakaa Sengerema,Magogo-Geita,Kakola now Kahama(atleast Kahama ni town hizi mambo hazipo sana)
Wasukuma hata uwe mnyenyekevu vipi ni wabaguzi hatari(otherwise ujue kisumuka).Usipojua kisukuma usukumani maisha ni magumu.Lugha ngumu lakini wanalazimisha ujue.Kama ni wema kwanini unamteta mtu kwa sababu tu hajui lugha yako?
Kwahapa Tanzania,kabila pekee nimeisha nao wanaupendo wa kweli ni Wagogo.Mgogo hana maigizo,kama ni mwema ni mwema kweli na ikiwa tofauti haitaji kuigiza
Wengi wanaowakubali hawajaishi nao ndio maana.Kaa na msukuma miezi kadhaa ndio utajua hawa jamaa.Just imagine hawa watu hawawajui wasukuma? Hawa watu ni wapumbavu na wabinafsi na wana roho mbaya sana acheni kuwapa promo washenzi hawa wa kisukuma
Kakola ya wapi hiyo bwashee 😀😀😀 au ulikua shiyungaKwenye Wasukuma ni uongo na ubatili mtupu.Jamaa wana ukarimu wa kinafiki sijapata kuona.Ni wabaguzi hatari.Nakupa mfano: kuna siku nipo Kakola nilikuwa duka moja wanauza pombe,walikuja wachimbaji wa kisukuma wakaanza kuongea zile lugha zao,mbaya zaidi wakafukuza wote wasio wasukuma.Huwa wanaita wasiojua kisukuma majogoli sijui.
Mtu akishakuwa ni muumini wa ushirikina hakuna ukarimu wowote atakuonyesha.Ni wanafiki sema walichelewa kuwa civilised ndio maana huwa wana play cool kwa outsiders.
Ishi na wasukuma hujui hicho kisukuma chao uone hizo fursa kama utapata.Msukuma unaenda dukani kwake tena wewe ndio wa kwanza kufika anahudumiwa mwingine aliyefika badae kisa kaja anaongea kisukuma.

Mkuu labda ulikutana na version ya wasukuma wa bariadi (wanyantuzu)Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot
Shiyunga hamna kaka pale kupata gono lisilotibika ni kugusa.Kakola ya wapi hiyo bwashee 😀😀😀 au ulikua shiyunga
All in all wasukuma umefika mgeni kabla hata ya kuulizana sijui umetoka wapi kwanza unafikia ugali na nsansa na maziwa mtindi saafii halafu ukishiba ndo interview ianze, kwakweli nisingeoa mnyakyusa option 2 ilikua nioe msukuma wako poa sana
Wanyantuzu *****.Kwanza wachafu ,kuna jamaa alijichanganya akaoa mnyantuzu mama yangu! alichanganywa na weupe wao sema wazuri babu.Kakola ya wapi hiyo bwashee 😀😀😀 au ulikua shiyunga
All in all wasukuma umefika mgeni kabla hata ya kuulizana sijui umetoka wapi kwanza unafikia ugali na nsansa na maziwa mtindi saafii halafu ukishiba ndo interview ianze, kwakweli nisingeoa mnyakyusa option 2 ilikua nioe msukuma wako poa sana
Mkuu labda ulikutana na version ya wasukuma wa bariadi (wanyantuzu)
wenyewe hampendan ila wagen mnawahusudu na kuwaogopa ndio mana wamejazana huko hasa wakinga na wabena huko kwenu kabila smat wanyasa kule ziwana wale jamaa wana utu sio mwenyej wa huko ila nimetembea sana na kukaa pande hizo nyie wachoyo mgen akifika kama umeweka sufuria ya ugar hamkawii kwenda kununua mahalage mpike mnatia aibuWangoni tuna ubinafsi gani? Em acha kutusingizia bhana.
Ndo wageni wangekua wanajazana songea?? Lol
Walikukosea nini?All in all si wasukuma wote,ila majority wasukuma tupo poa sana .Nimeishi na wasukuma hamna watu wabinafsi,wenye roho mbaya na wivu wa kijinga kama wasukuma acheni kuwa promo hawa wajinga ni wabinafsi na washenzi Sana! Idiot
Mtafutaji uliona wapi anachoka! Ukiona kachoka, jua kapata. Nasubiri kWa hamu ValentineHalafu wewe 😹
Acha basi!Kwenye Wasukuma ni uongo na ubatili mtupu.Jamaa wana ukarimu wa kinafiki sijapata kuona.Ni wabaguzi hatari.Nakupa mfano: kuna siku nipo Kakola nilikuwa duka moja wanauza pombe,walikuja wachimbaji wa kisukuma wakaanza kuongea zile lugha zao,mbaya zaidi wakafukuza wote wasio wasukuma.Huwa wanaita wasiojua kisukuma majogoli sijui.