Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

Wasukuma na Wasambaa ni makabila Fulani ambayo mtu ukishindwa Kuishi nayo basi sidhani kama Kuna sehemu utaweza kukaa aisee, ila Wasukuma Wana take lead very humble hao watu aisee

Nimeishi na hao jamaa Chuoni aisee sio wachoyo na Wala hawana issue za kubaguana kabisa hata uwe Kabila Gani utakaa nao tu Vizuri rafiki zangu Chuoni walikuwa wasukuma
 
Makabila mabinafsi mngoni, mbena, mkinga, mmatengo......kuna kabila moja hvi lipo katavi asee nilienda kuomb kazi nikaambiwa hakuna punde simu ikaita kabila lenzake linaomba hyo job jamaa likanyishaua end then nakuta kapewa dah watu wa hy nchi hapana
Wangoni tuna ubinafsi gani? Em acha kutusingizia bhana.
Ndo wageni wangekua wanajazana songea?? Lol
 
Mgogo ni mtu smart.

Wagogo ni watani namba 1 ya wasukuma!
Wagogo ni majirani na wasukuma ila tabia zipo tofauti sana

Shida ya wagogo wanalalamikiwa sana kukimbia majukumu ya kutunza familia, hii tayari inaonekana ubinafsi

pia wale wanaoomba wanaharibu sana image ya wagogo.

Ila nawapa saluti wagogo kwenye biashara ya nyama mabuchani, wanaweza.
 
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi

WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa

WAHEHE

WAKINGA -

WASAMBAA
Ndiyo maana nampenda Lamomy wangu
 
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi

WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa

WAHEHE / WABENA - Hawa ni kama ndugu wanafana vingi hadi lugha, Hata kaka awe tajiri hawana muda na mali zake, hawana muda na mali za mume wa dada wapo bize na mambo yao, pia ukiwa mgeni utapewa ushirikiano hata ukitaka ubunge.

WAKINGA - hasa wale waliotoka vijijini wamekuja kutafuta maisha mjini wapo peace sana ila muda mwingi kama sio maisha yao yote hushinda madukani na wanahitaji faida kidogo tu, shida huwa ipo kwa hawa wanaozaliwa mjini wapo tofauti kidogo.

WASAMBAA - Hawana noma kabisa, na uzuri mnazoeana haraka tu, hata ukiwa rafiki mliejuana siku chache unaweza kupigiwa pasi kwenye fursa bila kujali kabila.
Ongezea: wachaga- wako peace sana. Wanatukopesha sisi walimu Michele, unga, sukari, dagaa, mafuta ya kupikia mwezi mzima bila riba.
 
Kwenye Wasukuma ni uongo na ubatili mtupu.Jamaa wana ukarimu wa kinafiki sijapata kuona.Ni wabaguzi hatari.Nakupa mfano: kuna siku nipo Kakola nilikuwa duka moja wanauza pombe,walikuja wachimbaji wa kisukuma wakaanza kuongea zile lugha zao,mbaya zaidi wakafukuza wote wasio wasukuma.Huwa wanaita wasiojua kisukuma majogoli sijui.

Mtu akishakuwa ni muumini wa ushirikina hakuna ukarimu wowote atakuonyesha.Ni wanafiki sema walichelewa kuwa civilised ndio maana huwa wana play cool kwa outsiders.

Ishi na wasukuma hujui hicho kisukuma chao uone hizo fursa kama utapata.Msukuma unaenda dukani kwake tena wewe ndio wa kwanza kufika anahudumiwa mwingine aliyefika badae kisa kaja anaongea kisukuma.
 
Kanuni za kuishi na wasukuma
1.ni lazima ujifunze lugha yao angalau salamu na maneno machache!
2.usiwe mwenye majivuno,dharau,mbabaishaji
3.wanapenda utani Sana,ukitaka Ku match nao haraka uwe mtu Wa utani!
NB wasukuma na wasambaa ukishindwa kuishi nao wewe ndo mwenye shida!
 
Wagogo ni majirani na wasukuma ila tabia zipo tofauti sana

Shida ya wagogo wanalalamikiwa sana kukimbia majukumu ya kutunza familia, hii tayari inaonekana ubinafsi

pia wale wanaoomba wanaharibu sana image ya wagogo.

Ila nawapa saluti wagogo kwenye biashara ya nyama mabuchani, wanaweza.
Nyama yoyote utakayoonja jijini dsm kwa namna moja ama nyingine ni lazima imepitia mikononi mwa mgogo.
 
Kanuni za kuishi na wasukuma
1.ni lazima ujifunze lugha yao angalau salamu na maneno machache!
2.usiwe mwenye majivuno,dharau,mbabaishaji
3.wanapenda utani Sana,ukitaka Ku match nao haraka uwe mtu Wa utani!
NB wasukuma na wasambaa ukishindwa kuishi nao wewe ndo mwenye shida!
Kwanza lazima ujue sio wote kwa hizi sifa mnazowapa.Nimekaa nao huu mwaka wa saba nawajua nje ndani.

Wasukuma ni wakarimu ndio lakini ni ukarimu wa kinafiki.Mara ya kwanza nimefika Buhindi(hiko wilaya ya Buchosa) wale watu mchana utawaona hawa ndio wenyewe sasa kuishi nao.Usiku ndio utawajua(wanatabia za hovyo yani msukuma mgeni kumjaribu na mambo ya ushirikina kwake ni kitu cha kawaida na atasema tu kwa wenzake).Huwezi kuniambia hawa ni watu wazuri.The same stories nimezisikia wakati nakaa Sengerema,Magogo-Geita,Kakola now Kahama(atleast Kahama ni town hizi mambo hazipo sana)

Wasukuma hata uwe mnyenyekevu vipi ni wabaguzi hatari(otherwise ujue kisumuka).Usipojua kisukuma usukumani maisha ni magumu.Lugha ngumu lakini wanalazimisha ujue.Kama ni wema kwanini unamteta mtu kwa sababu tu hajui lugha yako?

Kwahapa Tanzania,kabila pekee nimeisha nao wanaupendo wa kweli ni Wagogo.Mgogo hana maigizo,kama ni mwema ni mwema kweli na ikiwa tofauti haitaji kuigiza
 
Back
Top Bottom