min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Malema/ au mashirima naomba chumvi / mafuta inaleta ukakasi 😆Kwanza unaanzia wapi wale wazee watakusema vibaya mno na watakujazia na watu 😄
Malema/ au mashirima naomba chumvi / mafuta inaleta ukakasi 😆Kwanza unaanzia wapi wale wazee watakusema vibaya mno na watakujazia na watu 😄
😄😄😄😄Malema/ au mashirima naomba chumvi / mafuta inaleta ukakasi 😆
Hivi umewahi kwenda sehemu ina boss mnyakyusa wewe ? 😂😂 unaweza kuhisi kijiji kimehamia hapo, wana ile kujiona wao ni bora ndo wengine wanafuataMsukuma
Mnyakyusa
Msambaa
Sijajua kuhusu kabila zima ila Nyerere alifanya kazi kubwa sana, Hali ua maendeleo ya mkoa aliotokea na Legacy aliyoweka nchini ni vitu viwili tofauti,Vipi wazanaki hatukuiba hazina ya nchi. Tupo nafasi ya ngapi?
Miaka ya nyuma kulikuwa na boss mmoja alikuwa Murugenzi wa Shirika la Bima NIC, aliitwa Gibbons Mwaikambo, alijaza watu wa kabila lake kwenye Shirika hilo.WANYAKYUSA - Ni watu wakarimu ila kwao kabila kwanza mengine badae, sehemu iwe na mwajiri, uongozi, mtoa michongo, n.k. mnyakyusa utajua tu, kweli kuna mambo ya kupeana pasi lakini kwa wanyakyusa ni wazi zaidi na kwa kiwango kikubwa kupitiliza bila
Hawa watu wana majungu, unafiki na wivu wa kupindukiaWasukuma wamenyooka hawana kipengele
Halafu nashangaa watu wanasema wachaga wabaguzi si kweliMiaka ya nyuma kulikuwa na boss mmoja alikuwa Murugenzi wa Shirika la Bima NIC, aliitwa Gibbons Mwaikambo, alijaza watu wa kabila lake kwenye Shirika hilo.
Tukuyu na Kyela ilihamia hapo.
Pia Bodi ya Biashara ya nje, ( Board of External Trade) ilipokuwa chini ya Mbaruku Mwandoro, naye alijaza wadigo wenzake kutoka Mkinga.
TANESCO ilipokuwa chini ya Salvatori Mosha ilitia fora.
Kila mtanzania alifurahia kufanya kazi na bosi Mosha.
Mosha hakubagua mfanyakazi, uwezo wako ndiyo utakubeba.
Sio zamani tu ni mpaka leo, Meneja au HR awe mnyakyusa na kuna sheria hazimbani basi atajaza wenzake, hatukatai kuna mambo ya kuwekana lakini hawa wamepitiliza.Miaka ya nyuma kulikuwa na boss mmoja alikuwa Murugenzi wa Shirika la Bima NIC, aliitwa Gibbons Mwaikambo, alijaza watu wa kabila lake kwenye Shirika hilo.
Tukuyu na Kyela ilihamia hapo.
Pia Bodi ya Biashara ya nje, ( Board of External Trade) ilipokuwa chini ya Mbaruku Mwandoro, naye alijaza wadigo wenzake kutoka Mkinga.
TANESCO ilipokuwa chini ya Salvatori Mosha ilitia fora.
Kila mtanzania alifurahia kufanya kazi na bosi Mosha.
Mosha hakubagua mfanyakazi, uwezo wako ndiyo utakubeba.
Wachaga nao kwenye kuwekana wapo sana tu lakini hawajafikia hao vinaraHalafu nashangaa watu wanasema wachaga wabaguzi si kweli
Nafanya nao biashara adi nikawowa uko ulichosema ni sahihi kabisa...Kanuni za kuishi na wasukuma
1.ni lazima ujifunze lugha yao angalau salamu na maneno machache!
2.usiwe mwenye majivuno,dharau,mbabaishaji
3.wanapenda utani Sana,ukitaka Ku match nao haraka uwe mtu Wa utani!
NB wasukuma na wasambaa ukishindwa kuishi nao wewe ndo mwenye shida!
Cooments kibao wameishi nao vizuri labda ulikutana na wale wa Simiyu au ulitaka uanze kuleta vijisheria vyako vya huko kwenu ulikotokaKwenye Wasukuma ni uongo na ubatili mtupu.Jamaa wana ukarimu wa kinafiki sijapata kuona.Ni wabaguzi hatari.Nakupa mfano: kuna siku nipo Kakola nilikuwa duka moja wanauza pombe,walikuja wachimbaji wa kisukuma wakaanza kuongea zile lugha zao,mbaya zaidi wakafukuza wote wasio wasukuma.Huwa wanaita wasiojua kisukuma majogoli sijui.
Mtu akishakuwa ni muumini wa ushirikina hakuna ukarimu wowote atakuonyesha.Ni wanafiki sema walichelewa kuwa civilised ndio maana huwa wana play cool kwa outsiders.
Ishi na wasukuma hujui hicho kisukuma chao uone hizo fursa kama utapata.Msukuma unaenda dukani kwake tena wewe ndio wa kwanza kufika anahudumiwa mwingine aliyefika badae kisa kaja anaongea kisukuma.
Wachaga wa wapi hao Mangi🤣Wachaga wako poa sana mnawaonea tu
Wewe ndo unashida, jichunguze vizuriWasukuma ni wabinafsi
Mimi ni Msukuma 💯 Miaka 25 iliyopita niliwahi kuishi Kwa Wasukuma wenzangu na Kwa bahati nzuri Kwa kuwa nilizaliwa na kukulia mjini, na pia mazingira ya shule nilizosoma, lafudhi yangu sio ya Kisukuma japo najua kuongea Kisukuma vizuri sana.Kwanza lazima ujue sio wote kwa hizi sifa mnazowapa.Nimekaa nao huu mwaka wa saba nawajua nje ndani.
Wasukuma ni wakarimu ndio lakini ni ukarimu wa kinafiki.Mara ya kwanza nimefika Buhindi(hiko wilaya ya Buchosa) wale watu mchana utawaona hawa ndio wenyewe sasa kuishi nao.Usiku ndio utawajua(wanatabia za hovyo yani msukuma mgeni kumjaribu na mambo ya ushirikina kwake ni kitu cha kawaida na atasema tu kwa wenzake).Huwezi kuniambia hawa ni watu wazuri.The same stories nimezisikia wakati nakaa Sengerema,Magogo-Geita,Kakola now Kahama(atleast Kahama ni town hizi mambo hazipo sana)
Wasukuma hata uwe mnyenyekevu vipi ni wabaguzi hatari(otherwise ujue kisumuka).Usipojua kisukuma usukumani maisha ni magumu.Lugha ngumu lakini wanalazimisha ujue.Kama ni wema kwanini unamteta mtu kwa sababu tu hajui lugha yako?
Kwahapa Tanzania,kabila pekee nimeisha nao wanaupendo wa kweli ni Wagogo.Mgogo hana maigizo,kama ni mwema ni mwema kweli na ikiwa tofauti haitaji kuigiza
Hii ni kweli. Nakumbuka panel ya kuajiri mradi wa SGR walikuwa wasukuma wengi kuliko makabila mengine; automatically nafasi nyingi walikuwa wanapewa wa kabila hilo.Ishi na wasukuma hujui hicho kisukuma chao uone hizo fursa kama utapata.