Makabila yenye akili nyingi Afrika

Mleta mada umecopy na kupaste hayo makabila kwenye conclusion ya article yenye title โ€œDiscover Tanzaniaโ€™s most intelligent tribeโ€ ambayo inaongelea wachagga na cha kustaajabisha hujawamention? Hizi ni chuki binafsi.



 
Wachaga wana akili au ubahili?
Mtu ana pesa lakini anaishi kijinga hiyo ni akili?
Ukanda wa kaskazini kutumia pesa lbada kulewa na kujenga ila kwingine zero...Unaweza kuta mtu tajiri ila anavaa mitumba imepauka hata pafyumu kwa mbali mtihani the same kwa wakinga tena hawa hata kulq ni hovyo..

Kuna wamasai wana pesa mbaya ila wanaishi maisha ya kizamani.
 

Hapana hao labda wamecopy !! hii ni kutokana na research iliyofanyika na marekani
 
Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .
 
Wachaga nawakubali sana kwenye bishara, lakini Cha ajabu Kilimanjaro bado ni maskini tuu kama mikoa mingine, sijui wanakosea wapi

ubaguzi na ukabila mikoa yote yenye ukabila hamna maendeleo
Kagera
kilimanjaro

Huwezi kuta miji hii inakua kwa kasi kama sehemu ambazo watu wa makabila yote wanakutana kama kahama,mwanza,Arusha,Dar na mbeya
 

Haijatajwa tanzania hapo!!!โ€ฆ.
 

mmh
 
Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .

yeah hyo ni level ya Africa ,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ