Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kuna kabila hapa litapata kejeli😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachaga wana akili au ubahili?
Mtu ana pesa lakini anaishi kijinga hiyo ni akili?
Wachaga nawakubali sana kwenye bishara, lakini Cha ajabu Kilimanjaro bado ni maskini tuu kama mikoa mingine, sijui wanakosea wapi
Ukanda wa kaskazini kutumia pesa lbada kulewa na kujenga ila kwingine zero...Unaweza kuta mtu tajiri ila anavaa mitumba imepauka hata pafyumu kwa mbali mtihani the same kwa wakinga tena hawa hata kulq ni hovyo..Wachaga wana akili au ubahili?
Mtu ana pesa lakini anaishi kijinga hiyo ni akili?
View attachment 2892642
![]()
Discover Tanzania’s most intelligent tribe
When you visit Tanzania for the first time, there are a lot of things you will experience, encounter and be interested in knowing. For instance, how do Tanzaniafurtherafrica.com
Mleta mada umecopy na kupaste hayo makabila kwenye conclusion ya article yenye title “Discover Tanzania’s most intelligent tribe” ambayo inaongelea wachagga na cha kustaajabisha hujawamention? Hizi ni chuki binafsi.
![]()
Discover Tanzania’s most intelligent tribe
When you visit Tanzania for the first time, there are a lot of things you will experience, encounter and be interested in knowing. For instance, how do Tanzaniafurtherafrica.com
View attachment 2892635
View attachment 2892636
Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .View attachment 2892642
![]()
Discover Tanzania’s most intelligent tribe
When you visit Tanzania for the first time, there are a lot of things you will experience, encounter and be interested in knowing. For instance, how do Tanzaniafurtherafrica.com
Nakazia, aje list ya makabila mapenda sifa na ngono unaleta lini watu tuongoze Dunia maana si Afrika tu.
Wachaga nawakubali sana kwenye bishara, lakini Cha ajabu Kilimanjaro bado ni maskini tuu kama mikoa mingine, sijui wanakosea wapi
Tupo 2024 mnajdili kabila gani lenye Akili?
Tunajitapa na Ukabila? huu ni Upumbavu.
Mwl. Julius K. Nyerere akiwahutubia wahudhuri wa Mkutano mkuu wa CCM Dodoma mwaka 1995, aliwahi kuligusia suala hili la ukabila na jinsi linavyoathiri "Fikra" na "Mafikirio" ya Mtanzania, na nita mnukuu hapa kiunagaubaga- bila mpangilio maalum,
Nyerere alimaka....
"...Faida ya makabila iliyobaki ni kufanya matambiko tu...!
"Watanzania wanafikiri ni jambo la maana sana kujua kabila la mtu. Mnataka kutambika?" aliuliza Nyerere
"Katika nchi ya watu wazima, kabila lina maana gani nyingine?" Nyerere aliyasema hayo kwa masikitiko makubwa na kuongeza.....
"Tanzania ya leo, mnazungumzia Ukabila?"
"Mnazungumza lugha ya makabila?"
Mwl Nyerere aliwaasa na kuwaonya wajumbe na wananchi
"...tunataka, mtuchagulie mtu, ambaye anajua kwamba huko ni upumbavu na ni hatari.....hukooo"
Sasa tumefika 'hukoooo' alipokuwa anatuonya Rais Julius Kambarage Nyerere.
Tunapoleta na kujadili ukabila ni Upumbavu.
Amani ikutawale
Kichekesho Afrika hadi leo hatujawahi kutengeneza chajo, acha utawala bora. Sijui hayo makabila wanapeleka wapi hizo akili.
Kuna watu umewalenga hapa kuwa wazi
Mbona wayahudi wa Africa wachagga na wakikuyu hawapo? List ni batili
Kuna kabila hapa litapata kejeli[emoji28][emoji28][emoji28]
YASIYO KUWA NA AKILI AFRIKA
TANZANIA NDANI CHAMA CHA CCM
Ukanda wa kaskazini kutumia pesa lbada kulewa na kujenga ila kwingine zero...Unaweza kuta mtu tajiri ila anavaa mitumba imepauka hata pafyumu kwa mbali mtihani the same kwa wakinga tena hawa hata kulq ni hovyo..
Kuna wamasai wana pesa mbaya ila wanaishi maisha ya kizamani.
Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .