Makabila yenye akili nyingi Afrika

Makabila yenye akili nyingi Afrika

Mleta mada umecopy na kupaste hayo makabila kwenye conclusion ya article yenye title “Discover Tanzania’s most intelligent tribe” ambayo inaongelea wachagga na cha kustaajabisha hujawamention? Hizi ni chuki binafsi.

IMG_3294.jpg

IMG_3293.jpg
 
Wachaga wana akili au ubahili?
Mtu ana pesa lakini anaishi kijinga hiyo ni akili?
Ukanda wa kaskazini kutumia pesa lbada kulewa na kujenga ila kwingine zero...Unaweza kuta mtu tajiri ila anavaa mitumba imepauka hata pafyumu kwa mbali mtihani the same kwa wakinga tena hawa hata kulq ni hovyo..

Kuna wamasai wana pesa mbaya ila wanaishi maisha ya kizamani.
 
Mleta mada umecopy na kupaste hayo makabila kwenye conclusion ya article yenye title “Discover Tanzania’s most intelligent tribe” ambayo inaongelea wachagga na cha kustaajabisha hujawamention? Hizi ni chuki binafsi.

View attachment 2892635
View attachment 2892636

Hapana hao labda wamecopy !! hii ni kutokana na research iliyofanyika na marekani
 
View attachment 2892642

Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .
 
Wachaga nawakubali sana kwenye bishara, lakini Cha ajabu Kilimanjaro bado ni maskini tuu kama mikoa mingine, sijui wanakosea wapi

ubaguzi na ukabila mikoa yote yenye ukabila hamna maendeleo
Kagera
kilimanjaro

Huwezi kuta miji hii inakua kwa kasi kama sehemu ambazo watu wa makabila yote wanakutana kama kahama,mwanza,Arusha,Dar na mbeya
 
Tupo 2024 mnajdili kabila gani lenye Akili?

Tunajitapa na Ukabila? huu ni Upumbavu.

Mwl. Julius K. Nyerere akiwahutubia wahudhuri wa Mkutano mkuu wa CCM Dodoma mwaka 1995, aliwahi kuligusia suala hili la ukabila na jinsi linavyoathiri "Fikra" na "Mafikirio" ya Mtanzania, na nita mnukuu hapa kiunagaubaga- bila mpangilio maalum,

Nyerere alimaka....

"...Faida ya makabila iliyobaki ni kufanya matambiko tu...!

"Watanzania wanafikiri ni jambo la maana sana kujua kabila la mtu. Mnataka kutambika?" aliuliza Nyerere

"Katika nchi ya watu wazima, kabila lina maana gani nyingine?" Nyerere aliyasema hayo kwa masikitiko makubwa na kuongeza.....

"Tanzania ya leo, mnazungumzia Ukabila?"

"Mnazungumza lugha ya makabila?"

Mwl Nyerere aliwaasa na kuwaonya wajumbe na wananchi

"...tunataka, mtuchagulie mtu, ambaye anajua kwamba huko ni upumbavu na ni hatari.....hukooo"

Sasa tumefika 'hukoooo' alipokuwa anatuonya Rais Julius Kambarage Nyerere.

Tunapoleta na kujadili ukabila ni Upumbavu.

Amani ikutawale

Haijatajwa tanzania hapo!!!….
 
Ukanda wa kaskazini kutumia pesa lbada kulewa na kujenga ila kwingine zero...Unaweza kuta mtu tajiri ila anavaa mitumba imepauka hata pafyumu kwa mbali mtihani the same kwa wakinga tena hawa hata kulq ni hovyo..

Kuna wamasai wana pesa mbaya ila wanaishi maisha ya kizamani.

mmh
 
Intelligent sio kuajiriwa ... Intelligent ni pamoja na ubunifu ukiacha na vigezo za kiafrika kuna vya kimaifa wanaangalia ujuzi ...Tanzania kuna makabila famous ambayo ni dominant sio intelligent...Pangekuwa na ubunifu .

yeah hyo ni level ya Africa ,,,
 
Back
Top Bottom