Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,177
- 1,090
ubaguzi na ukabila mikoa yote yenye ukabila hamna maendeleo
Kagera
kilimanjaro
Huwezi kuta miji hii inakua kwa kasi kama sehemu ambazo watu wa makabila yote wanakutana kama kahama,mwanza,Arusha,Dar na mbeya
Kilimanjaro kuna ukabila? Umewahi kuishi Kenya? Hivi sio makabila mengine yanayokataa kuoa uchagani? Sasa hapo unaweza kusema Kilimanjaro kuna ukabila au wao ndo ambao wanabaguliwa?