Makabila yenye akili nyingi Afrika

Makabila yenye akili nyingi Afrika

ubaguzi na ukabila mikoa yote yenye ukabila hamna maendeleo
Kagera
kilimanjaro

Huwezi kuta miji hii inakua kwa kasi kama sehemu ambazo watu wa makabila yote wanakutana kama kahama,mwanza,Arusha,Dar na mbeya

Kilimanjaro kuna ukabila? Umewahi kuishi Kenya? Hivi sio makabila mengine yanayokataa kuoa uchagani? Sasa hapo unaweza kusema Kilimanjaro kuna ukabila au wao ndo ambao wanabaguliwa?
 
Kilimanjaro kuna ukabila? Umewahi kuishi Kenya? Hivi sio makabila mengine yanayokataa kuoa uchagani? Sasa hapo unaweza kusema Kilimanjaro kuna ukabila au wao ndo ambao wanabaguliwa?
Kenya wamezidi😅😅😅ila wanafanana na Kilimanjaro & Arusha...Kenya mtu akitaja jina lazima ahusishe na kabila lake..utasikia huyo mama mkisiii
 
Kilimanjaro kuna ukabila? Umewahi kuishi Kenya? Hivi sio makabila mengine yanayokataa kuoa uchagani? Sasa hapo unaweza kusema Kilimanjaro kuna ukabila au wao ndo ambao wanabaguliwa?

ubaya hua haulinganishwi ila unapigwa vita uchagan na uhayani ukabila wa kufa mtu
 
Wachaga nawakubali sana kwenye bishara, lakini Cha ajabu Kilimanjaro bado ni maskini tuu kama mikoa mingine, sijui wanakosea wapi
Kumbe hujui kitu
Kwa mujibu WA NBS
Kilimanjaro ni mkoa WA 2 kwa wananchi wake kuwa na kipato kikubwa Baada ya dar
Kilimanjaro 90% ya wananchi wake Wana kipato kikubwa,pia ni mkoa WA pili kwa makazi bora na huduma toshelezi za kijamii sote vijijin
 
Ila wachaga msiwachukulie poa. Mimi nimesoma kabisa kwenye bibilia kuna ukoo wa Mushi. Hizi njemba zimetoka mbali sana. Mambo ya Nyakati 23:30
 
Ila wachaga msiwachukulie poa. Mimi nimesoma kabisa kwenye bibilia kuna ukoo wa Mushi. Hizi njemba zimetoka mbali sana. Mambo ya Nyakati 23:30

Hilo ni jina mkuu usibabaike Hao walikua wa kwanza kupokea ukristo na ujue kwene dini watu wanachukua majina ya wakoloni
 
Hebu tumia, Japan, Austria, China na Uingereza kusisitiza point yako

Japani ilikua ni taifa kubwa mno kipindi hicho ,,Kosa alilofanya ni kuishambulia nyuklia power na wakati yy hana!!

Lakini hadi leo hamna mzungu anaeshikiria rasilimali wala ardhi yake!! Ukienda tokyo technologia zake ni Japan based
 
Kumbe hujui kitu
Kwa mujibu WA NBS
Kilimanjaro ni mkoa WA 2 kwa wananchi wake kuwa na kipato kikubwa Baada ya dar
Kilimanjaro 90% ya wananchi wake Wana kipato kikubwa,pia ni mkoa WA pili kwa makazi bora na huduma toshelezi za kijamii sote vijijin

Naona maada imebadilika
 
ushuzi
Huu huzi si wa ukabila ,, lakini ni chachu kwa mwanaume wap kwa kwenda kuoa[emoji3][emoji3]Usije ukasema wanao vichwa vizito!!

Kadiri ya utafiti uliofanywa na marekani haya ndio makabila yenye watu wenye akili zaidi Africa

1. Kabila la Igbo , Nigeria,
2.Kabial la Lebou, Senegal,
3.Kabila la Gurage ,Ethiopia,
4.Kabila la watutsi , Africa ya kati
5. Kabila la Venda,South Africa

Wenye uwezo nendeni Nigeria ,, hao jamaa dunia nzima inawaheshimu.

Nimegundua kwanini Hata swala la muungano Kwa nini Linasumbua….Wameshikilia udini,uarabu, na uniniii…..
 
Back
Top Bottom