hapakazit
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 839
- 663
Punguza jazba huu mchezo hautaji hasiraNilijua utasema tuu. Eti wachaga, roho mbayaaa kufa hufi. Wachaga wamekufanya nini? Utakufa huku unawachukia. Mtu akikuzidi usimchukie jitahidi na wewe. Kila kitu hapa tz ni wachaga kuwa hata na aibu basi